Search results

  1. N

    Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

    Watu wanaagizaje magari kwenye picha used? Yaani niliachaga huo ujinga gari zipo nyingi sana showroom naenda na begi langu nakagua gari bila fundi nanunua
  2. N

    Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

    Matumizi utatoa wewe au?
  3. N

    Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Anzisha kanisa lako kama mcha mungu utawala mpaka basi kama gwajiboi
  4. N

    Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Wewe unataka mahusiano gani? Hebu nenda baa kalewe tongoza muhudumu uanze nae mahusiano nazani mahusiano mengine yatafuata
  5. N

    Ukomo wa mtoto kubemendwa ni miaka mingapi?

    Watu mnatiana hata majalalani, iko siku mtatiana kwenye mashimo ya mavi
  6. N

    Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Kwingine ambako hakuna hela?
  7. N

    Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

    Kwaiyo sis financial advisors tufe njaa?
  8. N

    Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Sikujuwa kwamba tamasha la sanaa la mwalimu nyerere ni la ccm
  9. N

    Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Yaani hapo meza kuu wamekaa serikali na chama tu wasanii wenyewe wako kajamba nani uko nyuma. Meza kuu yuko Majaliwa, mwakyembe, Ndugai, katibu mkuu wa ccm.
  10. N

    Kwa hiyo hili linaoitwa tamasha la wasanii hapa ni la CCM?

    Nimekaa hapa TBC1 naona ujio wa waziri mkuu na wasanii wa Tanzania na kuna salamu za CCM sioni dalili ya wapinzani. Ndio tuseme hili tamasha ni la kimkakati wa chama kuelekea uchaguzi?
  11. N

    Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

    Pilika za uchumi ndo zinachangia mtu kwenda kasi au slow. Hata wewe mwenyewe ukiwa kariakoo kama dili zako zimebuma utarudi ukiwa mpole sana huna haraka na mwazo chungu mzima. Ila sasa ikitokea dili zako zimelipa na unatakiwa urepoti maeneo mawili matatu tofauti mjini utaona kama mda hautoshi...
  12. N

    Hivi kwanini sisi Watanzania tunapenda kutembea taratibu kama konokono?

    Huku joto ukikimbia ni utatoka majasho kwaiyo inabidi utulize spidi ili usilowe jasho. Ulaya baridi kwaiyo inabidi ukimbie kimbie ili kupasha joto misuli vinginevyo ukisimama mda mrefu sehemu moja utajikuta umeshaganda kama barafu.
  13. N

    Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

    Hakuna mashine inayotumika sasa yenye mionzi ya ki atomic ni kinyume na sheria za atomic kumpiga x-ray binadamu mwili mzima airport. Kama hujasafiri kaa kimya. Mizigo utapigwa x-ray ila siyo binadamu. Na hakuna mashine yoyote airport ya kujua kama umebeba unga tumboni jua ivyo dogo.
  14. N

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    YEHODAYA, Wewe unataka ufanye biashara bila kampuni au? Ndo biashara gani sasa iyo
  15. N

    Masanja unafanya ibada gani USA? Hilo vazi ni rasmi kwa wanaibada?

    funzadume, Ndo izo mashine alizowekeza alipata kwa kuuza mchele au?
  16. N

    Nashauri tubadili jina la nchi na tuitwe Kilimanjaro, badala ya Tanzania

    Mangi buana[emoji28][emoji28]... Janja janja nyingi sana nyie ndo mana mkiingia ikulu mtataka makao makuu yaende marangu.
  17. N

    Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    YEHODAYA, Jiulize hao kina Millard ayo wanalipwa kwa njia gani huko youtube, na uliza jamiiforums wanalipwa kwa njia gani kupitia adsense, usiache kutumia fursa ulizonazo kwa kusubiria majibu ya jumla ya serikali wakati wenzio wapo hapa na wanapata malipo unayozani hayawezekani.
  18. N

    Ni mwaka sasa nafurahia ndoa baada ya miaka 6 kupita

    Hao watakuwa wana bwana moja nje ya ndoa hao wanafichiana siri
Back
Top Bottom