Search results

  1. C

    Credit crunch: War is more expensive than peace

    CREDIT CRUNCH: WAR IS MORE EXPENSIVE THAN PEACE What is happening in those nations that are in forefront as self-declared police and army of the world is financial mess. Unfortunately, none has told their citizens three-quarters of the truth: that is no country in the world is rich enough...
  2. C

    Waislamu tanzania kususia bidhaa za mfanyabiashara

    Waislamu wana mkakati wa kususia bidhaa mbalimbali za mfanyabiashara maarufu nchini ambaye ananasibisha Uislamu nchini na Ugaidi na kushabikia matumizi ya kondomu na zinaa kupitia kwenye vyombo vyake vya habari. Kwa mujibu wa redio Kheri, mfanyabiashara huyo ambaye vyombo vyake wala jina lake...
  3. C

    ZIMBABWE: Tanzania imejifunza nini?

    KWA KUWA tuko mbali hatujui kwa hakika maafa yaliyowafika Wazimbabwe katika kipindi cha miaka mifupi tu kutokana na kuwepo kwa chama kimoja kinachodhani kimepewa ahadi na Muumba kutawala milele. Jamii yoyote inayokipa kikundi chochote katika jamii kuwa na nguvu na uwezo zaidi kuliko makundi...
  4. C

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Nilipokuwa mdogo niliambiwa na mama kwamba nisizungumze na mwendawazimu maana hakuna atakayeona tofauti yoyote kati yetu. Ninawashauri waandishi wa habari na vyombo vyote vya habari ikiwemo jamiiforums kuzika na kusahau kabisa habari za watu kama hawa. Hawana lolote jipya katika jamii na...
  5. C

    Kiswahili na wana-TEKNOHAMA au mabingwa wa ICT

    Udhaifu wetu sisi Wazazi na walimu ndio unaochangia kudumaza uwezo wa watoto kushika lugha kwa tasihili inayostahili. Halafu kuna hili la njaa na lishe bora-ni lazima tuhakikishe kuwa sio tu kuna madarasa na shule bora bali pia hata lishe bora ili uwezo wa kiakili wa watoto wetu uweze...
  6. C

    Serikali ilivyotekeleza Maazimio ya Bunge Richmond-Pinda.

    HIVI WATANZANIA walikuwa na matarajio kuwa Bw. Pinda atapindua mambo yaliyomzidi kima? Walijidanganya basi kama walifanza hivyo. Maana kama wengine walivyowahi kusema kina Richmond ni dalili tu lakini sio chanzo cha gonjwa linalokabili uongozi na Chama tawala hapa nchini. Inawezekanaje...
  7. C

    Watanzania, elimu, maendeleo na kiswahili

    Bwana au Bibi Mgonjwa ametoa hoja zake kwa mujibu wa tafakuri na maono yake. Hapa chini nimejaribu kujibu baadhi ya hoja hizo kwa kutumia lugha nyepesi nay a uungwana ili angalau tuelimishane juu ya yale ya msingi hasa kwa wale wanokurupuka na kuizun gumzia hoja ambayo tayari ilikwishafanyiwa...
  8. C

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    NINAMSHANGAA Askofu Kilaini kutoa haja ya Tanzania kutojiunga na na IOC eti kwa sababu ni suala la dini na sio kijamii na kiuchumi kwa faida angalau ya sehemu moja ya Watanzania. Hili si kweli, maana wanaoomba Tanzania ijiunge na IOC ni wale wanaotaka kuona Watanzania wanafaidika na programu...
  9. C

    Watanzania, elimu, maendeleo na kiswahili

    NIA na shabaha ya mada hii ya Watanzania na Kiswahili ni kujaribu kufufua mada yangu ya awali wakati nikiwa mwandishi wa habari juu ya umuhimu wa Kiswahili katika kuleta maendeleo ya kweli ya watu na nchi yetu. Kwanza, tutambue kuwa lugha ni roho ya taifa. Na nchi yoyote inayotumia lugha ya...
  10. C

    Rais Kikwete aenda Marekani

    Ninaambiwa kisa ni watoto wa wenyewe kusoma Marekani na kisha hivi sasa kwa Vigogo na Vizito wa Tanzania kuwa wabia wa Marekani katika kuhakikisha wanachimba madini mbalimbali ya Tanzania ikiwa ni pamoja na dhahabu, almasi, mkaa wa mawe, uranium na cobalt bila Mtanzania wa kawaida kunufaika na...
  11. C

    Rais Kikwete aenda Marekani

    NAAM, tunatambua kwamba hivi sasa kwa matakwa ya Bwamkubwa mwenyewe Tanzania imeanza kujiandaa kuwa koloni la Marekani -kwa heri na shari! Ninachokijua mimi ni kwamba misaada ya Marekani kwa Tanzania ni kitu kidunchu sana ukifananisha na misaada toka Sweden, Norway, Denmark lakini angalia...
Back
Top Bottom