Search results

  1. as1987

    Kijana tapeli akamatwa na milioni 15 za mfuko wa Rais

    Hapo ndo nashindwa kushangaa angeenda kutamba nazo mbele uko....tatizo hakuwa na plan b baada ya kufanikiwa
  2. as1987

    Mabinti tazameni nguo za kuvaa kwenye nyumba za ibada

    Angekuwa anaelewa wala hata asingenunua.....bora kajistiri kuliko kwenda uchi. Naukute yeye kaelew neno kuliko hata mpiga picha anaeacha kazi ya kusikiliza miss na kushangaa watu
  3. as1987

    Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    Say it again haaaa
  4. as1987

    Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Nampenda young Killer Msodoki, kuanzia uandishi, anavorap, nikisikia ile sauti Yani ndo mweee,sijui kamenifanyaje haka kabwanamdogo
  5. as1987

    Kenyatta atinga party la krismas!

    Endelea kuota, labda mpige yale mrimba mnyoyapiga kila siku
  6. as1987

    Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

    Shoga angu hata usipate tabu mi mwenyewe nlikuwa mweusi, nikanunua lotion inaitwa perfect white kupaka nikawa mweupe Hadi najishtukia, nilienda kununua grace zoa zoa 2000 tu, nimerudi ngozi yangu Kama means....wadada acheni kujichubua jaman Mana nimeona karaha kwanza unakuwa hauna confidence...
  7. as1987

    Tetesi: Jinsi lilivyopatikana jina la Madina nchi ya Congo.

    Jaman tulia uandike vizuri, vitu Kama hivi usiandike harakaharaka japo sio kila kitu lazima tuelewe
  8. as1987

    Tabata imevamiwa na wadangaji

    Aisee hyo maeneo kama unamtu wako kicheche asiende mwenyewe.....wanavaa kushawishi ngono kabisa wale
  9. as1987

    Afya ya akili ya Jerry Murro iko sawa ?

    Yupo day huyu...faili lake liko milembe pale
  10. as1987

    Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Alichokitafuta amekipata....
  11. as1987

    Nimechanganyikiwa, mwanaume akinipa hela ananiomba tena hela

    Hivi unashinda kumtimua otherwise unapenda kuombwa
  12. as1987

    BASATA fungieni wimbo wa 'Kibamia' wa Roma na Stamina

    Angeimba Beyonce fuckme ungerukaruka.....burudan tu hii
  13. as1987

    Kumbe kufilisika kupo? Kama hili linawatokea Roman Catholic, sisi wengine je?

    Haha akitaka Uache umbea akurudishie ada yako ulosomea Umbea[emoji1]
  14. as1987

    Siku 15 nyuma ya nondo za Magereza, nimejifunza mengi

    Doh....eti nasikia sio pazuri kule.....
  15. as1987

    TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

    Mi mwenyewe naungana na wewe....
Back
Top Bottom