Kwa Kiswahili, pound ni "ratili". Kipimo cha chini ya pound ni ounce, nayo kwa Kiswahili ni "wakia".
Ratili 1 = wakia 16.
Tulikuwa tunatumia vipimo hivi zamani (Imperial measures) kabla hatujabadilisha na kutumia Metric measures.
Kwa vipimo vya urefu/umbali (length) tulitumia inchi, futi, yadi...
Nimekuwa nikijiuliza sana, hivi unapomdhalilisha mtoto wa mwenzio unaona raha gani? Mwalimu anayejihusisha na udhalilishaji wa watoto mitandaoni atakuwa hajui wajibu wake wa kufundisha na kulea.
Huyo ni mwalimu wa MSHAHARA, sio wa WITO.
Kama anayefanya jambo hili sio mwalimu, basi ni mshamba wa...
Jamani, Kigoma tuna taabu, tuna shida, tuna matatizo. Imenichukua muda sana kufikiria namna ya kuchangia hii thread kwa jinsi nilivyo na uchungu maana sijui nianzie wapi. Kwa ujumla nimepata kigugumuzi hadi nikafa ganzi.
Barabara zetu zinawekwa matope (wenyewe wanaita kifusi), baada ya hapo...
Sanctus Mtsimbe,
Asante kwa kutukumbusha mbali. Kwa kweli vituko vya JKT havisahauliki hata ipite miaka kibao.
Nilikuwa Mafinga. Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa kufanya mazoezi ya vita porini - usiku, eti kwa kuwa vita hupiganwa usiku. Tunapelekwa porini na hapo tunatahadharishwa kwamba kuna...
Wapendwa wanaJF, naomba mtu akosolewe kwa kutathmini hoja aliyotoa na si kwa idadi ya post. Mwanzo wa mia ni moja. Hata hivyo, kwenye pumba hapakosi chenga!
Asanteni.
Kweli hii ni moja ya zile tamthilia kali za ki-TZ. Kwanza ni pale mtu alipopewa muda wa kushughulikia send-off na pili ni pale wanapopelekwa "keko" kwa VX. Tuwe macho. Tukishangilia sana watajua tumeridhika, watazima moto polepole. Tusiache kupiga kelele za "haki itendeke" maana usanii sasa...
Endelea kuheshimu ndoa yako ndugu yangu. Huyo ni shetani anataka kucheza na wewe kisha akuache juani. Jirani ni sawa na ndugu. Usiharibu uhusiano wenu mzuri wa ujirani kwa fedheha. Hata kama utashawishika kwenda nje, basi sio kwa jirani. Siku vikijulikana utaona dunia chungu. Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.