Search results

  1. T

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Kibaha wapi mkuu?
  2. T

    Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Bado unauza kuchi uko wapi na ni bei gani?
  3. T

    Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    1st generation breed ya Sasso inapatikana wapi hapa Tanzania?
  4. T

    Nauza mashine ya kutengeneza chaki

    Mashine bado ipo? ninaihitaji simu 0789138968
  5. T

    Mwanamke wa kitanzania na changamoto katika Ujasiriamali

    Mwanamke zaidi ya changamoto za kimfumo (umasikini wa muda; kukosa elimu ya shule na uzoefu wa biashara; kutokuwa na mali kwa ajili ya kuaminiwa na taasisi za kifedha; kutokuwepo kwenye nafasi zenye kutoa fursa za uhakika) kwa maoni yangu changamoto nyingine kubwa ni kujengewa dhana kwa muda...
  6. T

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hongera sana Dr Mwele - uwakilishi mzuri kwa Tanzania
  7. T

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Haya majadiliano kuhusu michango ya harusi ni mwanzo mzuri wa mwisho wa jambo hili. Ingawa nia ya kuchangiana ni kujenga mshikamano katika jamii na miongoni mwa wanajamii, hali inavyoendelea michango itachukua sura nyingine haswa pale wengio wanaochanga watakapogundua kuwa wanaokuza mila hii...
  8. T

    Learn english language with mwalim Kashindi

    Communicative english can better be studied in a group of maximum two people. Understanding verbs has to be in functional context. if one is studying english for communication purposes, they need good speaking practice. At Tunsume Skills Training College we teach Communicative English courses...
  9. T

    English learning thread

    Mama wawili je ulipata msaada wa kuboresha lugha ya kiingereza? kama la karibu kwetu Tunsume Skills Training Language Kunduchi Bahari Beach tumeanza madara ya kiingereza piga simu namba 0753087713
  10. T

    Wataalamu wa development study Masada tafadhali

    strategies should address systemic causes of bribery, deception and fraud. Some of the systemic causes are: lack of incentives/disincentives for engaging in bribery within public service. If for instance heavy penalties were imposed and enforced on government officials involved in...
  11. T

    Jiongeze mafunzo ya lugha kiingereza na kifaransa

    Tunsume Skills Training college inatoa mafunzo ya lugha (kiingereza, kifaransa na kiswahili) kwa wanaohitaji kujitayarisha kukabili ushindani ema katika soko la ajira ama soko la biashara ndani na nje ya nchi. Kiingereza tunawaalimu wa cheti cha CELTA kutoka cambridge kupitia Edith Cowan...
  12. T

    Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Mawazo mazuri na ubunifu mzuri sana. Tupeni mrejesho mko wapi sasa na wangapi wamejitokeza. Kazi nzuri sana ya kujenga Tanzania kwa mitaji ya ndani na kwa wabunifu wa ndani
  13. T

    Story with a wonderfull lesson

    Very inspiring and teaching story. Honest is a virtue that is hard to come by in all of today's human settings. The biggest of all challenges is to embrace honesty in a global society that rewards and cherishes dishonest. A dishonest life that has embedded our society is now defended by all...
  14. T

    Kozi bora

    Dogo nimependa sana jinsi ambavyo umeingiza falsafa ya kutafakari kwanza kabla ya kuwekeza kwenye elimu ya juu. Hii ni safi sana na kitu kipya sana kwa jamii yetu ambayo haioni elimu ni uwekezaji kama uwekezaji wowote na lazima kuifnayia uchangunuzi wa kina kuangalia kama unalipa ama la, na kwa...
  15. T

    Mheshimiwa Rais utatumbua jipu la katiba mpya (Sauti yetu) lini?

    Binafsi nadhani kunamabadiliko makubwa tumeyapata kutoka kwa Dr Joh Pombe Magufuli. Na ninamatumain mengi yatakuja, ila ninapopishana na Rais wetu ni kuwa hawezi kuyalinda mabadiliko haya bila madiliko ya Katiba. Na katiba pekee itakaypolinda haya mabadiliko, hata kama ni kiduchu kama...
  16. T

    Tunajisifu Kukusanya Trilioni 1.4 na Kujisahau Kukuza Uzalishaji

    Ni kweli ndugu yangu pamoja na ukusanyaji kodi tunahitaji uzalishaji. Lakini kila jambo zuri linahitaji mahali pa kuanzia. Sielewi serikali hii ya Magufuli ingeanzaje kutilia maanani uzalishaji bila kuboresha huduma (public services). Na ili kuboresha huduma (public services) kunahitaji funding...
  17. T

    Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

    Certainly we need both West and Communist, however,JPM and Tanzania should first re-define our interest ad pursue these two as a means to an end and not otherwise . What is our Foreign Policy Today? For both West and Communist countries, economic cooperation is a central part of their...
  18. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    kwa arusha tupigie 0753087713 Mama Tim
  19. T

    Rais Magufuli aagiza Taasisi za Umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi

    Kabla ya kulipwa tufuatilie kama kuajiriwa kwetu kulifuata taratibu na kama tulikuwa na vigezo vya kuajiriwa? Kama watu tuliajiriwa tuu kutolewa barabani na wajomba, shangazi na wajomba zetu, kwanini umma ukulipe? Pili kabla hatujalipwa tuchunguzwe kiasi gani tumeshajilipa kwa wizi, udokozi...
Back
Top Bottom