Search results

  1. K

    Makada wa CCM watajwa kuisaidia ACT-Tanzania

    Januari Makamba, Ridhiwani Kikwete, Nape Nnauye, Habib Mchange, Stephen Masele, watajwa kusaidia ACT. - Madiwani waonja machungu ya ACT warejea kuomba radhi
  2. K

    CCM waiba bendera za CHADEMA Singida

    CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Ikungi kimelaani vikali vitendo vilivyofanywa na baadhi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kata ya Puma ya kuiba bendera za chama hicho zilizokuwa zimetundikwa na kupepea kwenye milingoti yake. Akithibitisha kutokea kwa wizi...
  3. K

    CCM yanadi serikali mbili Misikitini - Singida

    CCM yanadi serikali 2 misikitini Na Mwandishi wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinadaiwa kuwatumia baadhi ya masheikh kuhubiri muundo wa muungano wa serikali mbili misikitini. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, kampeni hiyo inasimamia na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye...
  4. K

    Tazama Mbowe alivyofurahia Hotuba ya Kikwete Bungeni jana

    Umenena vema, sio tu Mbowe alishangilia hapo, aliongeza kupiga makofi pale Kikwete aliposema usimuulize mwenzako tusemeje au umeambiwa tuseme nini, akamalizia kwa kusema kuwa za kuambiwa changanya na zako, kwa wenye akili hapo alikuwa hataki wajumbe wawe wanategemea kufundishwa waseme nini...
  5. K

    Lema apatwa na balaa jingine!

    Heri Lema amehudhuria vikao vitatu, tunajua alikuwa anafanya kazi gani, tuambie Dewji anahudhiria lini? mbona Bungeni haende halafu nyie maCCM mnamtetea kwa kupata kafungu,
  6. K

    Josephine unazidi kumharibia Slaa, hutakaa uwe First Lady wa nchi hii

    Mjumbe, amejiunga JF siku kumi kabla Mwigamba hajasimamishwa, wakati huo kulikuwa kuna stori kuwa Mwigamba atamlipua Josephine, yawezekana ndiyo ameyaleta leo....... aiseee.
  7. K

    Hizi sera za CCM zinafaa saana Kalenga wiki hii

    Wanawake mkiamua mnaweza, ila huwa mnagawanyika kabla yakufika mwisho wa maamuzi, fanyeni kweli tuone.
  8. K

    Fedheha kubwa polisi Singida

    MCHANA: Naona Polisi wanaendelea kuhaha, wanatumika kwenda kwenye nyumba ya dada aliyefanyiwa ukatili huo ili kutoa vitisho, na wanajaribu sasa kumwokoa mhindi aliyefanya ukatili huo, mhindi anamwaga pesa kwa Askari na anajisifu hapa nje ya kituo kuwa hatafanyiwa lolote, yupo bize na simu...
  9. K

    Fedheha kubwa polisi Singida

    Nilikuwa hapa Singida tangu jana, nimekuja kuchukua gari, nikiwa maneo ya stend ya zamani, kulitokea msichana ambaye jina lake Safina analalamika kuwa kulikuwa na kikundi cha wanaume wenye asili ya kiasia, (wahindi) wanamlazimisha kufanya naye mapenzi, kwa mujibu wa maelezo ya Dada huyo ni kuwa...
  10. K

    Chitanda ajiunga na CCM

    Huwezi kufanya kazi ya CCM Ukajiita Chadema tukuache-Tundu Lissu.Wamerudi nyumbani walipotoka, kazi waliyotumwa imewashinda waende wapi?
  11. K

    Chitanda ajiunga na CCM

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachia wadhifa huo, Ali Chitanda, ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alifikia uamuzi huo juzi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za udiwani wa Kata ya Namikango, Wilaya ya Nachingwea...
  12. K

    Pinda ameona hiii

    Kwa stahili hii, nadhani Pinda asaidiwe, hiki kiti jamani
  13. K

    Askofu na Sheikh Waapa,Kwaajili ya Zitto Tutapiga Goti na Kufunga Kwa Nguvu Zote

    Bushloiaz = Nimekuheshimu sana ingawa sikufahamu. Sentensi yako itasimama siku moja.
  14. K

    Askofu na Sheikh Waapa,Kwaajili ya Zitto Tutapiga Goti na Kufunga Kwa Nguvu Zote

    Kikao kiliitishwa na nani? Agenda za Kikao hicho alishauri nani? Nani alilipa pesa ya Ukumbi? Nani aliwalipa nauli za kurudi? Anayemlipa mpiga Zumari, Zeze au Kinanda ndio huwa anachagua Wimbo. Sheikh pamoja na Askofu huyo wanaimba wimbo uliochaguliwa na aliyewalipa.
  15. K

    Kwa CCM tatizo si CHADEMA ni Mbowe

    NDUGUwasomaji, ninapenda sana kuwapa pole kwa kifo cha shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi Nelson Ndlahla Mandela. Kila gazeti, runinga na redio zimeelezea wasifu wake kiasi cha kufurahisha. Hata hivyo, mimi niseme tu kwamba kwa Mandela tunajifunza neno moja dunia nzima; "hakuna...
  16. K

    Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto, umeandikiwa barua na Chama chako, ulijitahidi kukwepa ili wasikupate ila walikupata ukapokea barua yenye tuhuma zako. Tuhuma zako zilitajwa ni 11, watanzania wengi hatuzijui ingawa jana gazeti la serikali Habari leo liliandika kuwa Udini, Ukabila na Uenyekiti...
  17. K

    CHADEMA wajipanga kumjibu Chitanda leo saa sita makao makuu ya chama

    Simiyu yetu kwa kuwa sijui umri wako umedhalilisha sana Jukwaa leo, Chadema hawajazungumza lolote au kuhusu Chitanda, au mambo ya Dk Slaa, au mambo ya Jikoni. Kaa na vitu vyako vya kutunga tunga, ila ungepata ban heshima ya jukwaa ingepanda ili tuwe tunapost vitu vya ukweli, heri ungeandika ni...
  18. K

    CHADEMA wajipanga kumjibu Chitanda leo saa sita makao makuu ya chama

    CHADEMA, wamemaliza mkutano wao na hawajajibu lolote la Chitanda kama ulivyotokwa na povu kuja kudanganya hapa, wamezindua rasimu ya sera ya mabadiliko ya Tabia nchi, na kutaka CCM itafakari kesho ili Bunge likianza CCM kama sio wanafiki wakawaunge mkono CHADEMA kusimamia serikali ili mawaziri...
  19. K

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Tatizo sio hizi pointi za kujisafisha kwa umma wa watanzania unaotaka mabadiliko. Zitto na Kitila watuambie, Mtera Mwampamba wa CCM, Mchange na Nyakarungu wa Masalia walikuwa wanatafuta nini kwenye mkutano wake, kwanini walikagua waandishi, kwanini walikuwa wanachagua watu wa kuwauliza maswali...
  20. K

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Dk Kitila ofisi yake ilihusika kuandaa matamko ya matusi yaliyotumiwa na Shonza na Mwampamba, UDASSA na Baadaye DUCE. Zitto alihutumiwa kuwa mfadhili wa kundi hili lililojiondoa na kuhamia CCM kwa mapokezi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania baada ya kufukuzwa bavicha Mkutano wa Zitto na Kitila...
Back
Top Bottom