Search results

  1. M

    Magufuli matatizo yetu watanzania ni 4

    Jamani mbona mnasema Magufuri ndio mpango mzima semeni Chagua CCM,tupate Neema zaidi,pigeni kampeni Kama Ukawa wanasema chagua UKAWA.acheni hizo au Magufuri ni mgombea binafsi.sisikii chagua CCM
  2. M

    CCM haiwezi kusimama mbele ya UKAWA!! People's..

    Ni kweli Magufuri ni mchapakazi ila kaja wakati usiofaa,chama kisichofaa,its like Uhuru kenyata vs Kibaki Uhuru aligombea toka KANU wakenya wakasema kwa vile tunakupenda Uhuru ila hatuipendi KANU tutampa Kibaki,vivyo hivyo nasi Hatuipendi CCM Tutaipa UKAWA.
  3. M

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Malisa kwa kweli imenichukua muda kukuelewa na sasa nimekuelewa Jana pale nje ya Hospitali ya BURUHANI Nilimkuta muuza machungwa nikatamani kula nilipomuuliza Bei Akanijibu shilingi 500 chungwa moja.CCM Kwanini hamuoni hali hii kwani ahitawasumbua wasiokuwa wanaCCM BALI KILA Mwanachi ona leo...
  4. M

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Kwanza Maghufuri anataka urais nae wakati Barabara zote alizojenga ziko chini y kiwango,barabara zinapitika miezi mitatu mpaka sita kisha yanabaki mashimo tu,kuna kampuni moja ya ujenzi SKOL Kila barabara inayojenga haimalizi mwaka ,kwangu HAFAI KUWA Rais.
  5. M

    Ni sababu zipi za kuikubali CHADEMA na kuichukia CCM?

    Zipo sababu nyingi zinazofanya niichukie CCM Nitakutajia chache 1.UTAWALA WA SHERIA -Chini ya utawala wa Serikali ya CCM Tumeshuhudia Sheria ikibagua wanaopenda CCM Wanapendelewa ili hali tuliokuwa kati tunaonewa mfano Familia ya MAREH mwangosi itaipendaje CCM wakati mpaka leo aliemuuwa BABA YAO...
  6. M

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake

    Kwa hiyo tufuatilie na kuchagua chama gani kwa fikra zako?
  7. M

    Mfumo wa uongozi wa chama cha ACT-Tanzania

    ACT NI Chama cha Kifalme mtoto wa mfalme hahitaji kugombea nafasi ya Ufalme umri umefikia yeye kuwa mfalme,na Ufalme WA Zitto ZUBERR KABWE ni wakudumu. natumai sasa mmeelewe . ACT -WAZALENDO.NI chama chake sio cha watanzania hata kibajaji alisema ZITTO SIO MSAFI.
  8. M

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    Mpaka kufikia OCTOBER TUTAKUWA TUSHAJUA WHICH IS THE CCM WAY TO GET INFORMATION FROM CHADEMA.ndio maana CCM Wanalia sana.UKIMFUKUZA hOUSE Girl wako watakao lalamika ni wale waliokuwa wanafaidika nae ukiwa kazini.
  9. M

    Tuombe Mdahalo kati ya Zitto na Mbowe ili tuweze kujua nani Mkweli

    Kuna mambo Ya Msingi ya kuomba mdahalo,kati ya Warioba na Sitta juu ya ukweli wa katiba pendekezwa, kati ya Benjamini Mkapa Na JK juu ya Mapato na matumizi ya Fedha za umma, Zitto amefanya mengi lakini kwa sasa si Mwanachama wa Chadema,Mbowe ni kiongozi wa Chadema.nani mwenye mambo ya Msingi...
  10. M

    Lusinde aivua nguo Serikali mbele ya Kinana

    LUSINDE HIZO MBWEMBWE TU Ulikuwa wapi siku zote unangoja siku KINANA Anakuja ndipo unasema hayo mbona ulisema ktk sakata la ESCROW Serikali yako chini ya CCM Imefanya mengi pamoja na kuwabembeleza wananchi wajenge Maabara . ......Ulikuwa wapi muda wote wa ubunge, .......Mwenzetu ,Ndugu yetu...
  11. M

    Ndugu zangu watanzania, kama kuna unyama hauvumiliki kuona kwa macho ni pamoja na huu

    BWANA Twijuke,hapo hakuna kutekeleza majukumu bali ni kukosa weledi kwa jeshi la polisi ninachokiona mimi haya ni matokeo ya kuajiri watu wasiokuwa na wito . Kwanza JESHI LA POLISI Limeajiri watoto wa viongozi ambao hawana wito wa kufanya kazi hiyo sio kila ukiambiwa piga unapiga lazima kuwe...
  12. M

    Mradi wa magazeti ya akina Jenerali Ulimwengu ni wa hatari kwa utengamano wa Taifa

    BEN SAANANE Nakubaliana na wewe huyu KI mun ndio hao hao wanaotaka maga,mba yaandikwe kwa kusifiwa tu. Lowasa ni nanin kama ana mabaya wacha watu watueleze.namkumbuka Mzee Jasckson Makweta aliwahi kuwauliza wabunge humu ndani nani msafi ili tuanze kunyoshea kidole alie mchafu watu wote walikaa...
  13. M

    Mwanza International Airport Kumaliza Utata na Kenya

    Nakuunga mkono nashangaa kwanini kila siku tunakuwa watu wa kuwanyenyekea tumajirani,kwanini hatutumii hizi Nafasi kujifunza na kujenga miundombinu imara,Kwanini kila siku tuunafikiria zaidi kuiba badala ya kujenga misingi imara kwa faida ya leo na kesho .nani alituroga ugonjwa wa kuona wivu wa...
  14. M

    Kinana: Serikali tatu ni hatari, itasababisha machafuko

    .ENYI WANACCM Mnaoamini kuwa serikali tatu ni kuvunja muungano ningewaelewa sana mngekuja na wazo la kuwa na serikali moja ya Tanzania, kama Tanganika ilipoungana na Zanzibar ikazaliwa Tanzania ,why Zanzibar ilibaki mpaka leo?...Wakti mwingine nafikiri ILIKUWA NI KUBADILI JINA LA NCHI NA...
  15. M

    Ponda aigharimu Serikali milioni 10/-

    Serikali imechoka,Imeajiri watumishi wengi waliofoji vyeti hata utrendaji wao ni kisanii,kibabaishaji,Siamini kabisa kama pPonda ni threat kubwa zaidi wa wauzaji Madawa ya kulevya,sitaki kujua Ponda ni Hatari kwa Uchimi wa Nchi kama walenaouwa na kutorosha meno na tembo,Sipendi kusadiki kuwa...
  16. M

    Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

    Namwona Mchungaji Nape akiwatoa na kukemea mapepo wana CCM.
  17. M

    Huyu ndiye Godbless Lema Mwamba wa Kaskazini.

    Unaweza kuchangisha hela halamu kanisani,lakini huwezi kuongeza kura ukasaidia ushindi ktk Uchaguzi LEMA wewe ni kiboko ya EL.Wacha wajanja waendelee kula Hela yake Mwisho wasiku Mhesh.Lowasa atakuwa kama Tingatinga litengenezalo barabara kisha linazuiwa kuitumia.....
  18. M

    Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    :wave:CCM ENDELEENI KUTUMIA NGUVU MAJIBU MTAYAPATA NDANI YA SANDUKU LA KUPIGIA KURA.
  19. M

    Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Hongera mleta Maada hii,nami naomba niongezee mtazamo wangu dhidi ya Utawala wa CCM,Viongozi wengi akiwemo Waziri mkuu anadhani Cheo alichopewa ni rungu la kuwalazimisha wapiga kura kufuata atakovyo yeye.Kauli alioitoa Bungeni dhidi ya Wahanga wa Mlipuko wa Bomu Kule Arusha Kuwa Ataendelea...
Back
Top Bottom