Search results

  1. A

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    wakuu lengo la rwanda hapo ni kuwa lazimisha wafanyabiashara wao wapitie mombasa, na kama hii ikishindwa tutegemee vikwazo zaidi, vita ni vita iwe ya maneno, matendo au uchumi
  2. A

    Tabora school(Tabora Boys and Girls) a.k.a vipaji/the head of Tanzania..Mpo?

    mkuu nimeangalia picha ulizoweka hakika wewe ni wa ukweli, hila lile gari likiitwa HOMA YA JIJI/KITONGOJI bado linapiga mzigo? kama unapicha yake rusha baba.
  3. A

    Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

    Thanks to robot teknoloji, inasaidia kurefresh mind
  4. A

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Vipi hawajamuomba awasaidie bei ipungue? Kwa sababu mateja bwana mhh ovyo kabisa
  5. A

    Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

    Hata shetani ana haki ya kuwa na wakili Sembuse ponda
  6. A

    Tabora school(Tabora Boys and Girls) a.k.a vipaji/the head of Tanzania..Mpo?

    Ninamkumbuka afande chacha kwa sababu alikuwa mtu kwanza kunitukana tusi kubwa sana,
  7. A

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Vipi muulizeni ule mkakati wa kupinga vikundi vya ulinzi jwenye misikiti bado anaupinga? Au ameona umuhimu wake, Mungu amtendee kadri amavyostahiki
  8. A

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Usalama wa nchi ni lazima kwa gharama yoyote
  9. A

    Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    Nilikuwa sijatabasamu kwa muda kidogo you make my weekend
  10. A

    Wazanzibar wafunguka kuhusu Dr. Slaa; Wamesema hana sifa za kuwa kiongozi bora!

    Hivi wapiga kura wa dsm na zanzibar wapi wengi
  11. A

    Wazanzibar wafunguka kuhusu Dr. Slaa; Wamesema hana sifa za kuwa kiongozi bora!

    Dah wewe umechanganyikiwa kweli mwanzo umeonyesha kama wazanzibar wamesema ktk badala yawamesema imekuwa amesema, bila shaka umeona ulete hoja ya kutunga ili upate 7000 yako. Unafa kutunga vitabu vya hadithi so pumba zako ni tishio kwa shigingo sio chadema
  12. A

    Mkuu wa Mkoa wa Mara ahamasisha Ubaguzi wa kikabila Wilayani Serengeti

    Serengeti wakati wa uchaguzi ukabila unatawala sana, hii ni kweli ukubali ukatae. Wazee wa kimila uwalisha watu wao yamini ili wasipigie kula mtu wasiemtaka. Hili ni jambo wazi ndo maana tunakuwaga na wawakilishi wasindikizaji tu. Shame on us
  13. A

    CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

    hiyo ni ZEROTH LAW. NAKUPONGEZA KWA KUJIPIGA MITAMA
  14. A

    CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

    mdini mkubwa inaonekana unaabudu nyumba moja na makata, lucifer and company
  15. A

    CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

    wewe jinsi gani? nahisi kama katika F na M haumo
  16. A

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    ni kweli ila aliyempokea ameshindwa kuonyesha tofauti zaidi ya kuweka mbolea kwenye mapungufu ya ben, na kuanzisha mapungufu mengine makubwa.
  17. A

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    batlida atakuwa na damu ya kichaga kwani mchaga ukiwa na hela hashindwi kukusalimia shikamoo mtotooo
  18. A

    Wabaya wa CHADEMA wavurugana!

    uongo ni kosa udaku si kosa
Back
Top Bottom