Search results

  1. T

    Mifuko ya PSSSF na NSSF, walipeni Wastaafu Mafao yao, au hadi tuandamane?

    Wiki hii wameanza kulipwa mafao wamewekewa 25% mkupuo badala ya 50% ukiwauliza wanadai watakuja kuwaongezea nyingine huko mbeleni.Barua za mchanganuo Wa malipo hazielezi kuwa kilicholipwa ni sehemu ya malipo sasa watakuwa na base ipi ya kudai. Kwanini wanalipa kwa kikokotoo ambacho Rais...
  2. T

    Wanafunzi wa UDOM washindwa kujibu neno ASAS lina tarakimu ngapi, aisee hatari

    Hakuna tarakimu hapo, muuliza swali ameuliza asichokijua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

    Natafuta head 1kz complete
  4. T

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta Suzuki swift au raumu old nitumie picha watsap 0625675169.
  5. T

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Natafuta chimbo LA bidhaa kama MAJI ya Afya NA Aqua
  6. T

    INAUZWA Canon Photocopy iR2016j

    Natafuta inayogeuza yenyewe, inapanga NA kupiga pini kabisa
  7. T

    Wakuu gari aina ya ford everest inauzwa kwa bei chee kabisa

    Gar zenye usajir wa Zanzibar huwa zinaingia kwao kwa punguzo LA kodi ukiinunua ikifika bara ili usajiri upya kwa T lazima ulipe difference ya KODI ya msamaha.wanaangalia value ya gar ilitakiwa kulipa being gan wanatoa KODI iliyolipwa Zanzibar then iliyobaki unalipa
  8. T

    Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Soko la phelispa chocolate, nyeupe na nyeusi linapatikana wapi
  9. T

    Jipatie tairi mpya aina ya roadcruza kwa bei poa

    Tairi inayofunga kwenye Prado rim size16 bei gan Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

    Ajali imetokea wiyenzele njia ya kuelekea Chipogoro
  11. T

    Michuano ya kombe la mabara live TV 1

    SAA ngapi
  12. T

    Photocopy mashine inauzwa kwa 1M tu

    Nina 750000
Back
Top Bottom