Search results

  1. D

    Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

    acha kuwa selective na comments zako nimesema in general hata majambazi wana bunduki tena za kivita, unaweza kukuta baadhi ya viongozi wa vyama vingine vya kisiasa wanamiliki silaha kali, watu wengi tu wanamiliki silaha kihalali mimi nikiwa mmoja wao za kuwinda na za kujilinda, sasa kwa sababu...
  2. D

    Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

    hivi hawa wabunge wetu wamesoma chini ya mwembe nini? inakuwaje mtu anaruhusiwa kuropoka maneno ya machafuko yasiyo kuwa na facts zozote? hivi haoni majambazi kibao wenye bunduki tena mpaka za kijeshi? hao ndio wanaoendekeza radio mbao!!!!
  3. D

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    acha ushabiki wa kijinga, kasema pamoja na kwamba ulimboka sio muajiriwa wa serikali walimkubali awe kwenye kamati kwa sababu alichaguliwa na madaktari wenzaki in other words serikali ilikubali demokrasia pamoja na kwamba walikuwa na uwezo wa kumkataa kwa sababu si muajiriwa wa serikali ambayo...
  4. D

    Rais JK ungesema neno moja tu nasi tungepona

    hivi nyie mnataka rahisi kama mrema ambaye anakurupuka tu na kuongea bila kujua kina na kufuatilia sheria, mnafikiri ni mjinga? hawezi kuongelea jambo ambalo hana fact kamilifu, kamati zimekutana madocta wakasema tunaoenda kuongea na wenzutu turudi na jibu, instead wakagoma, nasikilizia response...
  5. D

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    bro madakitari ni pumbavu, button gani wameanzisha? hivi wewe nani amewapa dhamana ya kuwatoa watoto na watanzania masikini kafara? hivi wewe kama mwanao angekuwa amefariki kwa ajili ya huu mgomo si ungekuwa wa kwanza kumteka huyo docta, watu wengi wasanii bongo hadi housigeli anaomba rushwa...
  6. D

    Mke aliyenikimbia anataka kuninyang'anya mtoto!! Your advice pls!!!

    mazee u have a very good case, your chances of keeping mtoto wako ziko bout 80% if hivo vitu ulivyosema ni ukweli na una all the documents showing kwamba wewe ndio umemlea mtoto toka mchanga kwa sheria ya tanzania mtoto anaweza kwenda kwa baba yake baada ya miaka saba lakini kwa kesi yako...
  7. D

    Miss East Africa 2009: What a JOKE?

    sijawahi kusikia gari inaitwa Range Vogue Sport!!!! kuna range rover vogue and range rover sport, huge difference sport version is way cheaper than vogue, sasa hiyo bei aliyosema ya 165,000$ du sijui wameipataje, hata vogue na usafirishaji wake, ushuru na insurance na reg sio bei hiyo
Back
Top Bottom