Mimi ni mkristo na ninaiamini imani yangu. Bahati nzuri baba yangu wa kufikia ni muislam(RIP) na nina wadogo na kaka waislam. Kiujumla familia yetu ina mchanganyiko wa kiimani lakini ina upendo.
Baba yangu wa kufikia alikuwa mcha Mungu na alitusisitiza sana sisi kushika imani. Wakati wa...
Kwa Yesu kuna amani tele kijana. Upendo ndio unatawala.
Ila hizi siasa za kutanguliza ubaguzi wa DINI zitatufikisha pabaya. Mtakuja na Washia na Sunni, then mtaanza waislam waarabu na wabara,, then dhambi itawatafuna.
Embu tuconcentrate kwenye vitu vya maana mfano Oil and Gas! Toa vijana...
Dah hilo ni soo. Pale nywele ziliposisimka kugeuka nyuma,,,, Mimi ningezimia! Hahaha! Aisee kucheat sio dili, ni upuuzi na ni kujitafutia magonjwa, laana!
Nilitaka kumwambia maana naishi kunduchi ambalo pia mbunge ni Mdee. Maji/umeme kawe ni vitu ambavyo si tatizo la kuumiza kichwa. Kile kichwa.... Ukitaka kuamini transfoma iharibike halafu tanesco walete longolongo, we mwambie wanamjua. Litabadilishwa siku hiyo hiyo
Sisi mnaotuita makafiri tuende wapi sasa? Mkishapambana na kututoa makafiri mtaanza kuangaliana Sunni au Shia, then pua ndefu au pana, nywele fupi au za kusokota, mchagga au msukuma.
Nashindwa kuelewa kwanini Zanzibar isikubaliwe ijitenge maana wananikera sana na maneno ya kibaguzi.
Tokeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.