Search results

  1. Z

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Kwani ni mara yake ya kwanza kwa kutoa kauli zenye utata? 1. Ninawafahamu na nitawataja viongozi wote wanao uza madawa ya kulevya!! 2. Ni marufuku kwa wabunge wote kuja Dar wakati vikao vya bunge vinaendelea huko Dodoma!! 3. Ni lazima kwa Wanaume wote wa Dar wakapimwe tezi dume!!
  2. Z

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Anayejua/kufahamu issues za ndani huwa ni mtu mwenye kifua, haropoki hovyo hivyo.
  3. Z

    Rais Samia, Makonda anataka kuigawa Serikali yako na Chama kuelekea uchaguzi, ni mtego. Usikubali, ana nia ovu

    Hawawezi kuongea kama Makonda kwa sababu wanajitambua, na kufahamu mipaka ya utendaji wao.
  4. Z

    Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

    Mkuu: Jaribu kufanya utafiti kidogo tu kuhusu University of Timbuktu Kuanzia karne ya 13-18 halafu linganisha na andiko lako.
  5. Z

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tatizo hapa ni kwamba, hawa TANESCO hawatowi taarifa kwa Umma ikielezea chanzo na sababu ya kukatika umeme mara kwa mara. Na hii inapelekea kwa wateja kuwa na dhana potofu kwa TANESCO.
  6. Z

    Marekani yasema Mamlaka ya Palestine ndio itapewa Gaza hapatakuwa na Hamas tena, Milele!

    Ideology ya Myahudi imejaa hofu ya kutoweka na haito muacha salama milele
  7. Z

    Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Tofautisha Kati ya kusikiliza kero za Wananchi ambalo ni jambo la msingi na kuwa summon Mawaziri na kuwapa ultimatum hadharani, Serikali duniani kote zina utaratibu wake maalum wa kujiendesha.
  8. Z

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Hivi wewe umebadilika lini. Mbona zamani enzi za Mwl. Nyerere alipo vunja uhusiano na Israel juu ya suala la Palestine ulikuwa kimya. Wacha unafiki umekwishwa kuwa mtu nzima sasa.
  9. Z

    Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

    Mfano: Kibiti-Lindi Road Project.
  10. Z

    Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

    Mkuu: Ukipata nafasi pitia nyaraka za KUWAIT FUND for Development, na ARAB FUND FOR ECONOMIC AND DEVELOPMENT utapata picha halisi ya ufadhili wao hapa nchini.
  11. Z

    Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

    Mkuu: Kuna Kuwait Fund imefadhili miradi mingi ya maendeleo hapa nchini, zikiwemo barabara kiwango cha lami.
  12. Z

    Prighozin wa Wagner aliitanguliza familia mbele, mbinu hatari za kimafia zilimfunga breki

    Mkuu: Ifahamike kwamba hii ilikuwa "Pre-Planned exit ya Yevgeny Prighozin na kundi lake la Wagner kutoka Bakhmut-Ukrain. Tujiulize kauli zenye utata za Putin kwamba: .... Yevgeny Prigozhin ni mhaini lkn amefutiwa mashtaka. .....Wahaini lazima watashughulikiwa ipasavyo. .....Warner Group...
  13. Z

    Prighozin wa Wagner aliitanguliza familia mbele, mbinu hatari za kimafia zilimfunga breki

    Mkuu: Nafikiri hoja yako, ni kweli tukifuatilia vyombo vya habari (Al-Hazeera) imeripoti kuwa tarehe 23-26 June 23 Viongozi wa juu wa US wamekuwa wakifanya mawasiliano ya mara kwa mara na Kremlin kuhusiana na kadhia hii ya huyu kiongozi wa Warner Group Yevgeny Prighozin.
  14. Z

    DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Mkuu: Tukirejea kwenye uhalisia. Ikiwa TPA kwa sasa ufanisi wake ni makasha 600,000 kwa mwaka na huchangia kwenye pato la Taifa kwa mwaka kwa asilimia 35%. Na DP World atakapo anza ufanisi wake inategemewa kufikia makasha 2,000,000 hivyo atamzidi TPA mara 3.33 zaidi na kupelekea kuchangia kwenye...
  15. Z

    DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Mkuu: Ni kweli unacho ki-elezea. Miaka 15 ya nyuma aliwahi kuja muwekezaji mwenye asili ya Asia, kwenye sekta ya usafirishaji (Reli) kwa jina la RITES. Lkn kutokana ufanisi mbovu, ilibainika kuwa sio ile RITES yenye uzoefu iliyopo INDIA. Kumbe alikuwa ni Muhindi wa hapa Tanzania amewachukuwa...
  16. Z

    Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    Hivi hilo jimbo analotoka huyu jamaa (Msukuma) hakuna watu wenye akili zao na wamekwenda Shule?
  17. Z

    Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Mkuu: Riwaya hii unayo ikusudia ndio ipo kwenye Sahara Crosswind (Rendezvous With Destiny, No 3)?
Back
Top Bottom