Search results

  1. K

    Yuko Chuo Kikuu ila anataka kurudia mtihani wa CSEE kama PC

    Ni cert ya ed, bach ya hrm na sasa napiga pg dip ya finance.
  2. K

    Kipi bora kuajiriwa chuo cha uwalimu au secondary ?

    muundo wa E umepitwa na wakat pia kwani mwaka jana july wametoa muundo mpya ambapo wakufunzi wataanzia F badala ya E (japo huo muundo wa E inasemekana hawakuwahi kuutumia, ulikuwepo jina tu na walikuwa wanaendelea kulalamika kuanzia kwao D kama wa sek). Huu muundo mpya wa kuanzia F umekuja baada...
  3. K

    Kiluvya vs Chanika

    Hiko cha bunju kipo bunju ipi, kina ukubwa gani?
  4. K

    DED morogoro ni mafisadi wa elimu

    kama ni hivyo, basi ni kweli DED moro kutakuwa na uozo, nakushauri uandike barua au mjikusanye wenye matatzo mkawaone utumishi
  5. K

    DED morogoro ni mafisadi wa elimu

    tatzo pia walimu wenyewe wengi hamjui mnachodai, kwa mf. nani kakwambia hao walimu walitakiwa kuwa B,C & D-3 wkt wameajiriwa 2011 na mwaka huu bado ni 2013/14. unajua kwamba mfnykazi akiajiriwa anakuwa ktk majaribio c zaidi ya mwk 1?. Je, wajua kwamba serikali ikiongeza mshahara ktk mwaka...
  6. K

    Mshahara wa mtu mwenye master degreee......msaada plse!

    kwani kwd mwenye digrii anaishia wapi? si hapo hapo TGTS H au?. cjaelewa faida ya ma baaada ya miaka 12 itakuwaje. ufafanuzi kdg mkuu
  7. K

    Kamishna wa madini apatikana

    Ina maanisha ameula au? Mbona km u-c.e.o wa Agencies upo vzr kuliko ukamishna wzrn! Au
  8. K

    Kamishna wa madini apatikana

    Tembelea web. ya Tmaa uone cv yake. Jamaa inasemekana yupo poa sana kikazi
  9. K

    Kuna ukweli kuhusu ujauzto na hili?

    kukaa pamoja kwa maana ya kuishi nyumba moja kipindi cha mimba zao na cyo wkt wa kwenda kujifungua tu
  10. K

    Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    http://www.lrct.go.tz/download/translated-laws%2520/kiswahili-vision/mahusiano.pdf
  11. K

    Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    cyo umuhimu wa cwt kwa walimu wa tanzania ishu ni umuhimu wa chama cha wafanyazi kwa wafnykz. Kujua umuhmu wake, taratibu zake nk soma SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI, NA.6 YA MWAKA 2004
  12. K

    Kuna ukweli kuhusu ujauzto na hili?

    Kuna watu wanasema eti wajawazito wawili wakikaa sehemu moja LAZIMA mmojawapo kati yao ajifungue kwa upasuaji na mwingine atapoteza mtoto(miscarrage). kuna mtu anasema ilimtokea mwaka jana na kabla ya hapo alielezwa na mama mkubwa wake akapuuza. kuna ukweli wowote wadau?
  13. K

    Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    kwenda nje c lazma muhmu ni maslahi na mapenzi binafsi
  14. K

    Kwa mwenye waraka wa wafanyakazi kujichagulia chama cha wafanyakazi wautakao

    Halaf c lazma kuwa mwanachama wa chama chochote cha wafanya kazi, hata hivyo kutokuwa mwanachama wa chama HAKUTA KUFANYA USIKATWE MAKATO(utakatwa kiwango cha chini kdg ya kiwango wanachokatwa wanachama halisi). kiwango hicho kinaitwa FEDHA YA UWAKALA, na itakuwa na matumizi tofauti na zile za...
  15. K

    Kwa mwenye waraka wa wafanyakazi kujichagulia chama cha wafanyakazi wautakao

    Kwa mujibu wa Kifungu cha 61 (1) cha SAMK, mwajiri atawajibika kukata makato ya chama kutoka katika mshahara wa mfanyakazi endapo mfanyakazi atakuwa ameidhinisha makato hayo kwa kujaza fomu maalumu (prescribed form), na kuyawasilisha katika chama cha wafanyakazi alichochagua kujiunga nacho. Fomu...
  16. K

    Kwa mwenye waraka wa wafanyakazi kujichagulia chama cha wafanyakazi wautakao

    hamna haja ya waraka ndg, muhmu ni sheria ya ajira na mahusino kazini, no. 6 ya mwaka 2004. muonyeshe bosi wako kifungu namba 61 cha sheria hyo
  17. K

    Muundo mpya wa utumishi kwa wakufunzi wa vyuo

    hv mlisharekebishiwa sasa mkufunzi?
  18. K

    HESLB inanipa wakati mgumu wanajamvi

    nshafanya hvyo mkuu. Naomba saidie hadi kutengeneza password na u login kabisa.
  19. K

    utartibu wa kuacha kazi serikalini upoje?

    mm mtumishi ktk halmashauri tang 2007 nataka kuacha kazi wkt huo nilipwe h@ki zangu, ni fanyeje?
Back
Top Bottom