Search results

  1. Y

    Naomba msaada

    Ndg zangu naombeni msaada nina mdogo wangu amepata tatzo la kuvuta hewa chafu ya dawa ya mbu baada ya kupata huduma icu AMEPATWA TATZO LA KUTO ONA KABISA MWENYE KUJUA DAWA ANISAIDIE TAFADHAR
  2. Y

    Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

    Mambo ya mchezo mchafu wa siasa wanataka tu kumuondoa kwenye ramani ili awe mwanachama wa chama tawala itikadi za chama hizo mambo ya kufikirika kuwa ngoja tuone atakwenda wapi lkn mimi kwa uwezo wangu mdogo kasi ya upinzani inakwenda inapungua wamebaki kulana wao kwa wao
  3. Y

    Naomba msaada kutafsiriwa hizi dawa

    A.aleikhum napata faraja kwakupata hekima zenu za bila choyo mimi mama yangu asumbuliwa sana na sukari ya kupanda hufika mpaka 24 pia bp yake hufika mpaka 240 tulikopita hosp za rufaa zote ni dawa gani za kiarabu atumie 11}ustadhi mzizi tusaidie orodha ya madawa ya kiarabu tunaweza pata wapi...
  4. Y

    Hii tabia wanawake uwa awaipendi sana,nimeona niwasemehe badala yao, wameshindwa kuisema apa

    Unafikiri unapokuwa unaendesha anachowaza juu yako ni mapenzi ama jinsi unavo endesha ama anakuwa akitamani ulivo funguka kutokana na uzoefu wako huo
Back
Top Bottom