Wanajukwa salamu!
Napenda kuwashauri wazazi na walezi kwa ujumla kuhakikisha mnawekeza kwenye Elimu kwa ajili ya watoto wenu kwa manufaa yao ya badae.
Maendeleo yoyote hutokana na Elimu bora.
Asanteni.
Tukutane Whatsapp 0767462729

Uchaguzi Mkuu 2015: Nani anastahili kura yako?
Ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu wa 2015, kila raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 na aliyejiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, atatakiwa kushiriki katika kuwachagua viongozi mbalimbali katika ngazi za Urais, Ubunge na...
Katika Maisha Yangu Sijawahi Kujidharau, Sitawahi Kujidharau Kamwe.
Kuna Watu Wanadhani Dewji Hawezi Kushindwa Ubunge Na Mtu Wa Kawaida. Watu Wanadhani Dewji Kwa Singida Mjini Anakubalika Sana Kiasi Kwamba Watu Waogope Kushindana Naye Kwenye Nafasi Ya Ubunge.
Wanaodhani Dewji Hawezi...
TAARIFA YA NDG MUTTA, Anselimi KWA WANASINGIDA NA WATANZANIA KWA UJUMLA.
Ndg, waandishi wa habari mliohudhuria hapa, ndg. Viongozi wa chama wa ngazi mbali mbali mlioko hapa, ndg wageni wote mabibi na mabwana. Karibu katika mkutano wangu huu leo tarehe 6.4.2015 ambao una agenda mbili tu...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
OFISI YA MKOA
S.L.P 345
SINGIDA
25/ 06 /2014.
TAARIFA RASMI YA CHAMA MKOA WA SINGIDA KUHUSU UPOTOSHAJI WA HABARI ZILIZOTOLEWA NA WATU WANAOJIITA VIONGOZI WA CHADEMA TOKA SINGIDA
Ndugu, waandishi wa habari kama ilivyotangazwa tarehe...
Hakuna utafiti hapo. Labda useme tu kuwa aliyajua ayasemayo kwa kuwa ni miongoni mwa wahujumu chama na demokrasia yenye nidhamu ya kanuni za taasisi. Mbona haandiki kuhusu kuachishwa uongozi wake Udsm?
unajua ukiachana na mpenzi wako visingizio huwa ni vingi vya kweli na uongo. yaani ujifungie ndani uroge na ukikamatwa useme eti naye huyo huwa ni mchawi! maajabu. zitto alikataa posho za bunge akijua kuwa ana pokea nyingi zaidi za kuhujumu chadema.
sio huko tu hata hapa Singida mwenyekiti wa UVCCM MKOA BWANA LISSU ni mwalimu wa sekondari, KATIBU MWENEZI WA MKOA NI MWALIMU WA SEKONDARI ILA KWA SASA AMEHAMISHIWA KITUO CHA WALIMU NYERERE, KUNA MWINGINE ANAITWA KUNDYA NI MWALIMU WA SEKONDARI NA NI MJUMBE WA UVCCM MKOA. MKUU WA CHUO KIKUU HURIA...
Ndugu Watanzania nawasalimu.
Leo naomba tubadilishane uzoefu juu ya utaratibu wa uendeshaji wa vyuo vyetu mbali mbali hapa nchini kwetu.
Kwa leo nitaangazia chuo cha TIA (TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY)
Kwanza nawapongeza walimu na wsimamizi wote wanaohusika na...
Ndugu Watanzania nawasalimu.
Leo naomba tubadilishane uzoefu juu ya utaratibu wa uendeshaji wa vyuo vyetu mbali mbali hapa nchini kwetu.
Kwa leo nitaangazia chuo cha TIA (TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY)
Kwanza nawapongeza walimu na wsimamizi wote wanaohusika na uendeshaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.