Search results

  1. Saint Ivuga

    Kwesi Kawawa anafaa kuwa Tanzania one?

    Ushapata jibu?
  2. Saint Ivuga

    Kwani wenzangu mnafanyaje mpaka mnakuwa na hela nyingi

    Huyo ni mwenye shibe asikuumize kichwa
  3. Saint Ivuga

    Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Naona Kikeke au Kitenge akipewa nafasi ya usemaji ila hasa hasa anaweza kupewa Kitenge kwa sababu amesimama sanana udhalimu wa Liliondo akifanya coveragw kubwa sana kuwafunika wauaji. Nimekaa pale
  4. Saint Ivuga

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    offcourse mkishapata ajira serikalini mnajisahau kabisa
  5. Saint Ivuga

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    kwa hio Mkenda haamini vyuo vyao vilivyofundisha waalimu? hata elimu yake inabidi tuwe na wasi wasi nao kama anaanza kuleta figisu tu ili watoto wa maskini wasipate ajira kiufupiu hii mitihani ni ulaji wao , wanatafuta kila mbinu ya kula pesa ya mlala hoi
  6. Saint Ivuga

    Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    mliosoma si ndio mmeingia mikataba ya kisengerema? sasa faida iko wapi
  7. Saint Ivuga

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Unanikumbusha ben saanane
  8. Saint Ivuga

    Niliwahi kukorofishana na member wa JamiiForums, ilipelekea mpaka tukapeana namba tukutane tuzichape mtu mbili tu

    Nakumbuka sana ugomvi wenu kumbe mlihamia dm. Yule mwenzako na yeye alikuwa askari kule zanzibar ila bahati mbaya clip yake ilivuja
Back
Top Bottom