Search results

  1. S

    Michezo: Mkakati Wa Kujiajiri Na Ajira Kwa Vijana Na

    WAKATI Tanzania kupitia Waziri wake wa Elimu miaka kadhaa iliyopita, aliyetokea Chama cha Mapinduzi ilipiga marufuku riadha na michezo mingine mashuleni hivi leo Jamaica kwa kuendeleza michezo mashuleni imewika na kuwakawaka kila pembe ya dunia. Nchi ndogo na isiyojulikana imefanya makubwa...
  2. S

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    TAZAMA MFANO HUU hapa chini: HIVI kweli hii minara ya simu na njia nyinginezo za mawasiliano ilipokuwa ikijengwa huko Manzese, Kigogo, Kariakoo na sehemu nyingine za walalahoi Baraza la Mazingira nchini halikuona umuhimu wa kutafiti na kuzuia ujenzi wake ili kulinda afya za walalahoi...
  3. S

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    AMANI na mshikamano uliopo Tanzania hivi sasa vipo kaika hatari ya kuuzwa na kisha Watanzania kununua migogoro, kutokusikilizana na hata vita vya wenyewe kwa wenyewe. Dalili zote za uwezekano wa hilo zipo na hasa ukizingatia yale yaliyotokea Amerika ya Kusini na kati au Latin Amerika...
Back
Top Bottom