Search results

  1. Bazazi

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Pascal Mayala Mtu mwelewa, mtu ujulikanaye unaandika bila kuwa na ushahidi wala kufika field? 1. Unajua maji yatokayo ktk Mgodi wa BARRICK NORTH MARA sio meusi? 2. Unajua watu walio~upstream hawakuathirika na madhara ya uchafuzi wa maji ya Mto Mara? 3. Unajua maji meusi yapo ktk ardhi oevu...
  2. Bazazi

    Hela ni nini mpaka wazazi wamkatae mkamwana?

    Waungwana! Mwezi ulopita nalikuwa Majita, Halmashauri ya Wilaya Musoma. Huko nalikutana na kisa ambacho kidogo kilinishangaza na kujisemea tu TEMBEA UONE na dunia haijaisha na maajabu yake. Nikiwa Majita nilihudhuria msiba na kijana aliyefika kwao kwa ajili ya kumzika nduguye naye mauti...
  3. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Shida ni kuwa wahenga walisema "Ukishikwa Shikamana". Unamkumbatiaje NYIGU? Bazazi
  4. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Tii Kiu Yako na SPRITE Bazazi
  5. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Hapana. Ule ulilakiwa Mawinguni kwa Parapanda ghafla tu pale 17/10/2020. Ile jeuri ilopandikizwa ndo shida au labda kuna mchepuko mpya Bazazi
  6. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Yupo. Asingekuwepo, uzi usingekuwepo Bazazi
  7. Bazazi

    Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

    Mbele kuna Moto, nyuma kuna moto Wasimama nkuki, wakimbia nshale Nchi kavu simba, majini kuna mamba Aishi juu ya jiwe, agongwa na nyundo Kuanza upya sio ujinga. Bazazi
  8. Bazazi

    Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

    VIRGINITY doesnt mean DIGNITY; Is Just Lack of Opportunity Influenced By DIVINITY. Mwaka 2020 nimemuona Mwanamke nimfahamuye (tumesoma shule ya msingi moja) aliyezaliwa mwaka 1968 na kuolewa miaka ya Tisini akiwa BIKRA akichepuka. Mbaya zaidi alikuwa na WANAUME watatu (mume na michepuko 2) wote...
  9. Bazazi

    Kuna mwanamke ananisumbua sana, kila nikimtongoza ananikataa

    Huyo ameshaingia tayari kilichobaki ni kukaa kitini tu Bazazi
  10. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Ipe nyama kidogo Mkuu Bazazi
  11. Bazazi

    Tembea na hisia zako

    Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako. Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa asiwe na hasira, apokee simu yake kwani ana hamu ya kusikia sauti yake. Ugomvu kuntu uliibuka maana...
  12. Bazazi

    Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

    Unafanya mchezo mbaya Wachezea sarafu chooni Ikitumbuki usije kulalama Twakataa kelele sizo haja Wajikata kidole mwenyewe Halafu walalama waumia Acha ujinga Bazazi
  13. Bazazi

    Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    Hata sielewi shida ipo wapi! Umesaidia mtu bure buresi Baada ya muda anakulipa Ndio! Analipia wema wako Tena malipo ni mwili wake We kwa UKENGE unakataa Waumiza viumbe wa Mungu Hebu vaa uhalisia wake bro Halafu rudi jukwaani hapa Bazazi!
  14. Bazazi

    Anastahili au kaonewa?

    Mwanaume halipiwi Mahari hivyo ni MALI YA UMMA Bazazi! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bazazi

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Lini ninekuja kudai Mtoto Kwako? Uwe na nidhamu na staha. Umalaya wako unaniletea mimi? Shenzytaipu Bazazi
  16. Bazazi

    Jamvi la wageni

    Iwapo ni kisifa sawa lakini. Wengine na miye ni JINA hivyo hawezi kuwa mwananke Bazazi
  17. Bazazi

    Jamvi la wageni

    Kibiritingoma Bazazi
  18. Bazazi

    Rais Samia, kaimu DSO Kiteto anakuharibia Chukua hatua mapema!

    Taarifa ina udhaifu mkubwa! 1. Una uhakika gani kama ni kaimu DSO!? 2. DSO mwenyewe yupo wapi? 3. Jina lake ni nani? 4. Watumishi walioitwa ofisini kwa DSO ni kina nani? 5. Wamefanyanini hadi waitwe kwani sio utaratobu uliozoeleka DSO kumuita mtu ofisini kwake! 6. Amewatishia kuwapiga...
  19. Bazazi

    Rais Samia, kaimu DSO Kiteto anakuharibia Chukua hatua mapema!

    Usalama wa Taifa maanaye nini ilkiwa hahangaiki na Uhalifu? Bazazi
  20. Bazazi

    Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Una akili sana lofa wewe! Kudos! Maana.tupo wengi Bazazi
Back
Top Bottom