Search results

  1. 1

    S3 kwa bei ya 300,000

    nishakututumia picha baba mkali
  2. 1

    S3 kwa bei ya 300,000

    sorry picha najaribu kuweka zinagoma
  3. 1

    S3 kwa bei ya 300,000

    Habari. Samahani zipo s3 mbili bei ni 300,000 kwa ya silver na 350,000 kwa nyeupe. silver internal memory ni 16 GB na nyeupe 32 GB. zipo katika hali nzuri unarusiwa kuziona kukagua ukiridhika tunafanya biashara. Napatikana kurasini chuo cha uhasibu. Kwa mwenye kuhitaji anicheki namba 0716651695.
  4. 1

    Tatizo la ku-appeal mkopo naomba msaada

    jaribu kuingiza codes kwa umakilni sababu wengi wanakosea mfano mtu anaona kwenye code ni 1 kumbe ni I. BI20WS348 mtu anaandika B120WS348
  5. 1

    Not yet confirmed lakini chuo washatoa second selection na jina halipo

    anasema kama wiki hivi ndo aliandikiwa SELECTED
  6. 1

    Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

    mimi naona ni hizo hizo za TCU sababu kwenye form ile kuna applicant category ambayo kuna form six, foreign certificate etc ambayo inaweza kua tena diploma na wengineo kama wapo
  7. 1

    Not yet confirmed lakini chuo washatoa second selection na jina halipo

    habari wakuu. Nina mdogo wangu aliomba chuo kupitia NACTE asa kwenye hizi second selection walimweka SAUTI MWANZA ambapo selection status alikua SELECTED but confirmation status hadi sasa hivi ni NOT YET na chuo cha SAUTI washatoa majina ya selection ya pili na jina lake halipo. Inakuaje hapo
  8. 1

    TCU transfer application

    hivi iyo transfer ni kwa wote au nacte nao wanaprocess zao za kuhama chuo.
  9. 1

    T.I.A: Usajili unaanza Oktoba 6

    yeah washatoa majina TIA nenda kwenye web yao
  10. 1

    Samsung galaxy s3 used wanted

    ipo note 1 katika neat condition kwa bei ya 320. PM au nicheki via 0716651695 tuongee
  11. 1

    Tuhabarishane kuhusu Chuo kikuu cha uhasibu Arusha (IAA)

    Taasisi ya Uhasibu Arusha. Ni chuo kizuri sanaaa kama TIA tu
  12. 1

    Samsung galaxy original zinauzwa

    sorry mkuu nina samsung brand tu htc zenyewe ni chache but f unahitaji naweza kukutafutia nicheck via my namba apos
  13. 1

    Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

    Ahsanteni sana simu za ofa zimeshaisha nimeshasambaza zote 10 kwa mwenye kuhitaji bei kwa sasa ni 460,000 sio 420,000 tena.
  14. 1

    Samsung galaxy original zinauzwa

    unachoongelea ni ukweli mtupu na watu wanalizwa sana kuuziwa clone kama original. na siku hizi izo codes sijui *#0*# au *#7353# si kigezo cha kucheki kama simu ni original cha muhimu deal na specification za simu as internal memory na applications nyingine. Karibu sana mkuu usisite...
  15. 1

    Samsung galaxy original zinauzwa

    wewe nitafute kwa namba hizo
  16. 1

    Samsung galaxy original zinauzwa

    zoom sina ipo s4 active
  17. 1

    Samsung galaxy original zinauzwa

    jaribu kupitia na post za watu wengine ulinganishe apo ni cheap na fair sana au jaribu kupitia maduka ya simu uone.
  18. 1

    Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

    zimebaki 6 simu 4 zishakua booked kwa kusambazwa kesho. wahi unaanzaje kukosa ofa hii
  19. 1

    Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

    Simu ni mpya kabisa na kila kitu unapewa yani ziko full box maana naona watu wanauliza hilo sana nikisahau kusema apo juu
  20. 1

    Nauza Samsung S3 bei ni nzuri

    nicheki via 0716651695
Back
Top Bottom