Search results

  1. M

    Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

    Mungu ni Mungu wa haki.siku hizi hawafi wote.anakufa peke yake aliyehusika.mambo yamebadilika. wanaume,loh! hata uwanyonye macho!!! loh! ni mbwa koko!!!! ogopa sana viumbe visivyoota matiti!!!! ogopa sana!!! loh! ni hatari!
  2. M

    Wadau KIU HAITAMBULIKI UGANDA NA KENYA WAMEFUTA DEGREE ZOTE ZA WALIOSOMA KIU BONGO VIPI?

    nashukuru kwa kumuelewesha mdau,ugomvi sio kwenye certificate,bachelor wala masters.mgogoro wao na serikali ulikuwa katika kutoa PHD.MPAKA UCHUNGUZI UFANYIKE.LAKINI NAONA WATU WAMEDANDIA GARI KWA MBELE.wEPESI WA KUSOMA TAARIFA NA WAGUMU WAKUELEWA.WAMEKALIA USHABIKI TU.
  3. M

    Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    sijaelewa watanzania wengi mna vipimo gani kupima hichi chuo ni bora au sio bora.Mtu akiwa na perfomance nzuri haimaanishi kuwa chuo alichosoma kilifundisha sana,ni bidii ya mtu mwenyewe katika kujifunza.kwani waalimu wanakupa percentage ndogo sana ya ufahamu,percentage kubwa unatafuta mwenyewe...
  4. M

    Naelekea Dar kwenye interview ya NSSF natokea Kigoma, maombi yenu wana JF tafadhalini

    watu wakienda kwenye interview huwa hawatangazi.interview ni kama uchumba.unaoweza kuwashirikisha labda watu wako wa karibu sana,na wakati mwingine hushirikishi mtu,haswa pale ambapo hakuna ulazima.Na sio kuanika habari publicly.ni ushauri tu.ukitaka chukua,ukitaka uache.
  5. M

    East Africa Community...Why are Tanzanian's Pessimistic?

    It is neither the matter of inferiority complex nor the language barrier.Myself I do not hate kenyans,but to live with them It need so much wisdom.it is very hard,due to the following reasons.these are some of them: 1.If he/she come to your territory,doesn't know his/her limits.he will need to...
  6. M

    Je ulikutanaje na Mumeo/Mkeo Kabla ya kuwa kwenye Mahusiano?

    dah! umenikumbusha mbali sana. mimi ilikuwa katika mazingira nisiyoyategemea.nilikuwa na bf ambaye alikuwa ananistress sana.so,nikawa naenda kwa kaka yangu mmoja wa hiari kumuomba advice,wote tulikuwa vijana.akawa ananipa advice mbalimbali.bf alinifanyia vituko vingi sana,mpaka nikaamua kuachana...
  7. M

    Vituko jikoni, Let us share and have fun

    hahaaaaaa,you have made my evening! loh1 hiyo ilikuwa kali.
  8. M

    Kwanini hivi lakini?

    mama weeee! mnanivunja mbavu zangu mie.mbona mmebadilisha mada.msaidieni mdau sio kutukanana.
  9. M

    Nimeitwa UNV

    ingia kwenye website ya unv utapata informations zote.just goggle UNV itakuletea informations mbalimbali then utachoose unayoitaka.but one of them ni kuwa tayari kufanya kazi kwenye mazingira magumu, na huchagui wapi pa kupangwa,utaenda kokote watakapokupanga.hongera.usiiachie hiyo nafasi, itumie.
  10. M

    Wanasema tujiajiri wao mbona hawajiajiri?

    ok, mdau.kumbe uliajiriwa kwanza,kwa hiyo tunarudi kwenye point ile ile.hakuna asiyependa kujiajiri,but atleast wengi hutaka kuajiriwa ili apate muda wa kujipanga as well as the starting capital.kwanini hukumaliza chuo na kuanza kujiajiri moja kwa moja,kwa nini kwanza ulingoja upate kazi ya...
  11. M

    Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    hee! nilishakwambia, usijitengenezee format zako za kupata kazi, kila shirika lina taratibu zake,hupendi kufuatilia mwenyewe, unapenda hearsay.ni utaratibu wa chuo kuwa kila anayeitwa kwa interview anapaswa, mark me, hawaongelei kusajili wanafunzi, wanaongelea habari ya tangazo la kazi,bingwa wa...
  12. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    mnachowaza nyie ni wanawake tu na kunywa kahawa, wakati wakristo wanajitahidi kusoma na kendana na tecchnolojia.mmh! kweli, wenda wazimu si mpaka watembee uchi,unamuua mwenzio kisa umeahidiwa wanawake?????? nimeamini, ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni.loh!!!!!!!!
  13. M

    Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    kila la heri mdau .ufanikiwe
  14. M

    Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    Hebu weka english yako hapo tuione.au ni ile ya "ze..ze..you know...ze" Vyuo vyote vilivyokomaa vilianza vichanga hivyo hivyo.hata polytecnic ilianza hivyo hivyo mpaka imekuwa full registered.tatizo letu wa TZ tunapenda hear say kupita maelezo,hatupendi challenges.wacha vyuo vikuu vipya...
  15. M

    Nafasi mpya za kazi tanzania international universty

    habari yako mdau wa jf hapo juu.usitake kupata kazi kwa format ulizojiwekea wewe.umeshaambiwa ni chuo kipya.na hakiwezi kujitangaza kama hakiko kwenye procedures za TCU.kama shida yako ni kazi apply,kwani hao TCU ndipo wanaotakiwa kukulipa mshahara. ndio maana baadhi watanzania mnaendelea...
Back
Top Bottom