Search results

  1. B

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Alasiri Hoteli ... aliacha shule akiwa form one Njoss 1993/4
  2. B

    Missungwi High School Ni shule mpya?

    Ndg Loook.... mawasiliano na huyu mwl naweza kuyapata leo leo???
  3. B

    Missungwi High School Ni shule mpya?

    Nasubiri kwa hamu ndugu ... natanguliza shukrani..
  4. B

    Missungwi High School Ni shule mpya?

    Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah. Asante.
  5. B

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    muhammad ndo jina lako???
  6. B

    Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Mmmh! Cute hebu funguka...
  7. B

    Najihis 1/2mwanaume coz sijawai toa bikira

    ni lazima ubikiri???? Nashauri hii thread iondolewe humu maana inatia najisi...
  8. B

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Hilo ni fungu la kumi upande wa pili. . . . Si bora ukatoe tu sadaka kanisani ijulikane kala mchungaji? au kusaidia maskini? Anyway Pole
  9. B

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Mmmh! Hebu yaangalieni mawazo yenu kwa jicho la tatu...
  10. B

    mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Huyu mumeo ana shida either alipita mapito mabaya ama pepo tu limemwingia bila yeye kujua... Wewe ndio mwenye kazi ya kufunga na kuomba ili mwenzi wako apone.
  11. B

    mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Dada msaidie mwenzako anahitaji sana msaada wako...
  12. B

    mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    Mwenyezi mungu alivyotuumba wote hatufanani. Ukiona mume safi ujue tatizo litakuwa kwa mke and vice versa jamani 70% of marriages huo ndo ukweli.
  13. B

    mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

    hii ndiyo njia iliyo bora na sahihi. Akiri kwa imani yake mwenyewe kwamba yawezekana mumewe kubadilika na itakuwa hivyo..... Just mapepo wabaya hao.
  14. B

    Hii ni kwa wanawake tu,wanaume msiingie

    Jamani bora kaeni na wanandoa wenu . . . tulizana looh.
  15. B

    kupenda kazi bwana usithubutu kukutwa

    Unajifanya kuomba ushauri wakati tayari umeshaharibu . . . Habari zako ninazo na ninakufuatilia.
  16. B

    Natubu nilikula kuku na mayai

    Ndugu yangu . . JF hakuna wanaloweza kusamehe ni Mungu mwenyewe awezaye.... Utubu na umrudie kweli kweli. Pole
  17. B

    Afrika inampenda BARACK OBAMA, Mawazo yake ni HOJA NYINGINE KABISA

    Mmmh natafuta neno la kusema............ Hatutaki wawepo hata kama wapo..
  18. B

    Hii nayo habari - NIDO mtu.

    Ok ok kumbe mzungu senkyu amerika coming from sanatonio senkiyu afrika....
  19. B

    Hii nayo habari - NIDO mtu.

    Kuna wakati nido zinasimama gumegume kama dudez???
Back
Top Bottom