Search results

  1. crabat

    Umakini wa Media House za Tanzania

    Jana wakati Rais Magufuli anafungua kiwanda cha Azam kule Mkuranga aligusia juu ya Media zetu kutokua makini. Aliyoa mfano wa Ujio wa Mabohora Dar es salaam. Hakuna hata chombo kimoja iliweza angalau kuandika ujio huo na kuripoti juu ya usalama wa nchi yetu kupokea wageni wengi kiasi hicho kwa...
  2. crabat

    Magari yanayopiga kelele yapigwe marufuku

    Mheshimiwa Makonda Tuna Tatizo sisi watu wa Upanga. Kuna vijana wa Kihindi kila siku za Ijumaa , Jumamosi na Jumapili kazi yao kuanzia Saa 12 Jioni mpaka saa Tano usiku ni kupitisha Magari na Piki Piki ambazo wamebandika vifaa vya kutoa KELELEkali sana utafikiri kuna Mabomu au miripuko ya...
  3. crabat

    Kipindu pindu

    Habari zinasema huko Znz kipindu pindu kinaenea kwa kasi kufuatia mvua na mafuriko. Mpaka sasa zaidi ya watu 3000 wamelazwa na habari zisizo thibi tishwa zinasema watu 51 wamefariki. Hili ni janga na Smz hawana uwezo wa kulishughulikia. Mara nyingi wao hutia nguvu zao kwenye kura. Wasamaria...
  4. crabat

    Magufuli na Zanzibar

    Rais mteule anakabidhiwa cheti cha ushindi na tarehe 5/11 ataapishwa. hayo yakijiri Magufuli anaingia Ikulu kukiwa na mgogoro. kwa ufupi Kikwete anaondoka huku akimachia mgogoro wa zanzibar. mgogoro na jumuia ya kimatifa ambao hawakuridhika na maamuzi ya kuupiga chini uchaguzi ambao ulikua...
  5. crabat

    PSPF inakiuka sheria za Uchaguzi na sheria za kutojihususha na siasa

    The Mboni TV Talk Show. Kipindi cha Tv cha Kulonga longa kinacho julikana kama Mboni TV show wakati huu wa kampeni za uchaguzi kinaonekana wazi wazi kumpigia kampeni mgombea wa Ccm . Imekua ikiendesha vipindi na kufanya kampeni ya wazi wazi. Wiki ilopita wali mualika Mgombea Mwenza wa CCM...
  6. crabat

    Kha we Magufuli

    Wacha bwana hizo
  7. crabat

    Dart project bad choice ? Fact and figures...

    JEE KAMA TUNGEAMUA KUWEKEZA KWENYE RAILWAY KATIKA NJIA HIZO HIZO ? KWANZA NI RAHISI , COST EFFECTIVE, INAENDA KWA UMEME, MAINTANANCE YAKE RAHISI KULIKO MABASI...LAKINI PRIORITY ZETU ZA LEO LEO TU DART PHASE ONE In August 2010, the President of Tanzania, His Execellency Dr. Jakaya Mrisho...
  8. crabat

    Magufuli: Tujadili uwezo wake

    Magufuli nje ya matinga tunga. Ccm wamemlitisha Magufuli waziri wa barabara kwa miaka mingi tokea ssrikali ya Mkapa. Amedumu zaidi katika wizara ya bara bara kuliko wiza nyengine alofanyia kazi. Sifa yake kuu inayotumiwa ma Ccm ni ujenzi wa bara bara. Wizara nyengine alizokaa hakuonekani...
  9. crabat

    Hatimae Lowassa Awatetea Masheikh wa Uamsho

    Lowassa alizungumzia kuhusu Zanzibar huru katika muungano kwa kusema kuwa serikali tatu ni lazima.
  10. crabat

    Turufu ya CCM ni January Makamba

    Katika wagombea wana CCM 40 walio nesha nia ya kutaka kuteuliwa na chama chao kupeperusha bendera ya urai uchaguzi ujao ni January MAkamba pekee ndie mwenye uwezo wa kuijenga CCM mpya kabisa itayopendwa na na wapiga kura wapya miaka 10 ijayo. Ni kijana mwenye uwezo katika nyanja zote. Ni msomi...
  11. crabat

    Bajeti kuua Secta ya Bima

    Makosa makubwa yamefanywa kutoza VAT kwenye malipo ya Bima. Hatua hii inaonesha namna gani waandaaji wetu wa bajeti walivo dhaifu sana katika mambo ya uchumi na ni wepesi wa katika ufahamu wa maendelo ya sekta ya BIma nchini. Habari zilizopo ni kuwa waandaaji hawa wa bajeti na TRA...
  12. crabat

    Foleni za kijinga

    Serikali ya mkoa na kuu hebu tumieni akili kidogo. Bara bara nyingi zimefungwa ikiwamo ya msimbazi foleni imezidi kupita kiasi ..fungueni kipande cha Morogoro road kutokea samora iingie bibi titi kama zamani. Hii ndio ilokua bara bara kuu ya kupumulia mjini Kuifunga na kusubiri mabasi wakati...
  13. crabat

    BAKWATA wafanya ufisadi mwengine

    Bakwata Taasisi kuu ya kufisidi mali na maendeleo ya waislam imefanya ufisadi mwengine mkubwa kwa kuuza kwa ufisadi kiwanja kilichopo kona ya Bibi Titi na Morogoro. Kiwanja hicho ameuziwa mgeni msomali wa Ramada kujenga Mall bila ya fedha hizo kuwanufaisha waislam na taasisi zao. Wizi huu wa...
  14. crabat

    Kamanda Kova kamata hawa mafia

    Kamamda Kova tunajua umafatilia Jamii forum . Jiji lako limevamiwa na wezi na matapeli kutoka Italy wako wengi kwa uchache nimewashuhudia kama 6 katika gari tatu aina ya RAv 4 tofauti wakizunguka jijini moja ya gari hizo ina namba T 303 CBM. Hawa wezi waki mafia kutoka Italy wana uza mali feki...
  15. crabat

    Parking fees kila mahali

    Huku nchi ikielekea kwenye uchaguzi mwakani inaonekana kila mkulu sirikalini ameamua kutafuta ulaji. Polisi wamevumbua vitabu vya kukusanya na kunyanganya raia. Wao wanakimamisha na kuku gonga fees ya kuwatajirisha .hawakusimishi kwa sababu unaendesha mwendo wa kasi. Hawakusimishi kwa sababu una...
  16. crabat

    Mabohora na adamjee

    Wa kazi gani? Anashindwa kusimamia mabohora wenzake pale upanga msikitini wapo kwenye muharam huwa wapo wengi wanaimba na kupiga kelele za kulia lakini wanapotoka nje njia hio ni vurugu tupu na magari ni kupiga honi wana kera majirani magari yao wanapaki bara barani hovyo mpaka sehemu za...
  17. crabat

    Maepo ya South Africa

    Miaka ya nyuma mkoa wa Tanga huko wilaya ya Lushoto walikua wakizalisha kwa wingi Apples na Plams. Yalikua mengi mazuri na yakisafirishwa hadi Kenya. Mara baada ya kulegeza masharti ya biashara ambayo yamesababisha mpaka sisi wenyewe nao kulegea ! Sasa Apples na Plams zetu hazionekani tena...
  18. crabat

    Prime Minister Narendra Modi aipaisha India

    Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India yaani people with indian origin watapewa Life Time...
  19. crabat

    Fire kukusanya ushuru wa wastani wa 20,000 kwa kila gari

    Miaka 5 ilopita TRA walianzisha utaratibu wa kukusanya malipo ya "fire"kupitia usajili na road licence ya magari.wengi tulilamika kuwa hii sio sawa kwani jeshi la zima moto ni sawa na majeshi mengine kama magereza na polisi hivyo kodi tunazolipa zilihudumie jeshi za fire.kuwapa mzigo huo wenye...
  20. crabat

    Jerry Slaa huu ni uonevu

    Inasikitisha sana vijana wanatafuta ajira zao za kimasikini wanauza matunda wanakuja askari wahuni wa jiji chafu na kuwatimua na kuharibu bidhaa zao. Hawa jamaa upanga wapo muda mrefu na hawaharibu mazingira wana mifuko yao ya taka.na pia wateja wao wengi wanachukua matunda. Askari wako wanakuja...
Back
Top Bottom