ni kikundi cha watu hata 20 hakifikii ndio wanahusika na hiyo mikataba, mawakili wa serikali ninaoongelea ni hawa walioko chini ya DPP, wanaoendesha kesi mahakama ya wilaya/mkazi na mahakama za juu. sio wale wa juu, wale hawana shida. hawa ni watoto ambao wanapambana na waganga wa kienyeji...
kada zote ni muhimu?...kama wewe ni mwalimu unapoenda kufundisha, polisi anaenda kurushiana risasi na jambazi na anaweza kuuawa akifanya mchezo, polisi anakulinda wewe. wakati wewe mwalimu au kada nyingne wanafanya kazi za kawaida, wakili wa serikali amepewa kuendesha kesi ya jambazi sugu...
mkuu, askari wanalipwa risky allowances laki tatu unusu kila mwezi. mwalimu sio sawa na askari, mwalimu sio sawa na wakili wa serikali. hawa ni watu ambao umuhimu wake utauona siku majambazi wakikuvamia, wakabaka mkeo na watoto wako, wakawakata mapanga, wakakamatwa, wakili wa serikali akatakiwa...
Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni yafuatayo kwa serikali iyaangalie kwa makini.
Suala lenyewe linahusu watu wanaoitwa STATE ATTORNEYS au...
nilishangaa kuona jana kenya wanapeleka mswada bungeni kuamua kama wajitoe kwenye mkataba wa Roma wa ICC au la. nilishindwa kuelewa hasa pale wengi wao wakiwa wabunge walivyokuwa wanaongea kwa comfidence kabisa kuwa, kama watafanikiwa kujiondoa, watakuwa huru kama ilivyo kwa israel, china...
Wandugu, hivi mauaji ya albino Tanzania, yanaweza kuwa na sufficient ingredients za kosa la genocide ambalo limo kwenye sheria ya mkataba wa Roma (ICC statute) ili wat wanaooganise au kuua albino wapelekwe the Hague; since they are only targeting a specific group of persons (though no evidence...
jamani, hivi kimara tuna kosa gani tunakatiwa umeme kila siku kuanzia asubuhi tunarudishiwa usiku saa mbili na nusu tunapotaka kwenda kulala? kwanini kila siku wanakata umeme wakati wametuambia mgao tutausahau, hii karibia ni wiki ya 3 wanakata umeme kuanzia pale kimara mwisho njia ya king'ong'o...
hivi jamani, tuseme ukweli, tz ikifungua milango yote, hata kama tukaamua kuliweka suala la ardhi free kwa east africa wote, nani atapata hasara? nchi gani itakuwa kwa kasi kuliko zote katika easta africa hiii? wapi patachanua kuliko kote katika ukanda huu, hebu nielimisheni jamani mimi sikusoma...
sina uhakika na hili, kama uganda wanapata hizo silaha toka israel, kwanini na sisi watz tusifanye dili tupate silaha toka hukohuko israel au toka mataifa mengine kama china na kwingine, kwani kupata silaha ni jambo la kutisha sana? kama wenzetu wakipata silaha toka israel, sisi pia tunaweza...
dah, hivi bongo itakuja kufikia hali hiyo hapo lini?nikapand train ya aina hii toka dar kwenda mbeya au kwenda kigoma, jamani jamani...hahaha. kinatushinda nini wabongo kufanya haya, hadi leo bado tunaagiza hata vipuri vya gari moshi...
hata mimi nikiwa na shule yangu ya watoto (english medium) nitaajiri wakenya, wabongo wanaojua kingereza wako wapi, unataka waniharibie watoto wangu? watoto wasijeanza kuongea kiingereza cha kiswahili bure.
kuna jamaa aliwahi kuleta uzi hapa kuwa tunaweza na sisi kutumia gesi kuendesha train, au kama si gesi tunaweza kutumia umeme utakaotengenezwa na gesi ili train zetu ziwe za umeme. nimeikuta hii huko kenya tayari uhuru anafanya vitendo, wala si maneno matupu. tutakuwa na gari moshi hadi lini...
Kenya, China quietly strike deal on modern railway lineChinese-built railway line will carry freight trains at speeds of up to 80 kilometres per hour and passenger trains at up to 120 kilometres per hour. It will be completed in five years. Nation Media Group
IN SUMMARY
The railway line...
given the analysis, the guy looks was so close to kagame and knows most of his secrets though. pamoja na kwamba si vizuri kuamini kila anachosema, ila hii inaonyesha namna gani watu ambao mlikuw apamoja sana mkaja kugombana namna mnavyoweza kugeukana. jamaa kamgeuka kabisa kagame kama umesoma...
we should put an end to this koba, unajua vyombo vya habari vinaweza kuwa move viongozi wetu hata kukuza huu mgogoro tukafika pabaya kwasababu tu ya wachochezi. rwanda na tz ni majirani tunatakiwa kuishi kwa amani na ushirikiano, tunaishi kwa kufaidiana.
mbona uingereza imejiunga na EU lakini ni kwa mambo kadhaa tu, si kwa kila kitu. mfano ni kwenye pesa yake ya pound starling na kwenye schengen visa. hata tz tunaweza kuendelea kuwa marafiki na kujiunga na wenzetu lakini kwa reservations kadhaa. kwamfano ardhi lisiwe jambo la wote. kama watasema...
hebu tumwache huyo kagame jamani, tufuate ushauri wa Mbowe jana bungeni, kugombana na majirani zetu haitusaidii hata kidogo, hatutapata hasara yeyote tukijifanya wajinga siku ipite.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.