Kama wameamua hivyo na sensa wafanye pekee yao,upinzani hawatahusika na kujihesabia maana huu ni ubaguz wa hali ya juu sana,masikin nchi yangu tanzania,
Kweli aisee jamaa kapoteza masaa mengi sana kusikilizia afu siyo mke wake ni wakupita tuu amepigwa baridi yakutosha,mchepuko siyo ya kufuatilia wew piga unasepa,siyo pakuwekeza hapo
Hapo mkuu kimbia nduki,wew tayar unamchumba na mmetambulishana,ebu fikiria ameshaolewa hadi kenya wametemana eti leo ujitwishe hilo zigo wew tena,bwana wew acha kabisa,kwanza huyo siyo mtoto wako,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.