Search results

  1. B

    I will never date a lady through the internet

    Inawezekana mzushi huyo, internet date kaishupalia tena na kumwamini mtu ambaye yupo mbali kabisa. usirudie tena ila kama hujakoma try again. Kiingereza chako ni cha ajabu sana..
  2. B

    EYE SPY: Time to retire, Mzee Kingunge

    Jamani huyu mzee simwombei mabaya ila bora tu apumzike milele. Hana cha kuongea sasa zaidi ya kuleta vurugu za maneno na hiyo CCM kama vile ni yake. Inawezekana pia akili zimeanza kumruka maana uzee mwingine unamjia mtu vibaya. Jaribu kufika Mirembe hapo dodoma mara moja maana mkoa huo...
  3. B

    Who is missing a lot?

    Its very nice, it made me laugh with tears. They both miss what each other can have according to their FAITH. I am not missing a lot though!
  4. B

    Natafuta Mme !

    Wakuu! Inawazekana huyo binti yupo serious au la ila hajaelezea vizuri hilo tangazo lake la kutafuta mume. kama kweli hiyo ni age yake basi anaona atafika miaka 30 hajaolewa kwahiyo anakuwa desperate. kuna gazeti la mwananchi kwenye website yao unaweza kutafuta rafiki na wachumba nadhani...
  5. B

    Rukia Bruno hatunae tena

    Pole sana Mkuu Nyoshi. RIP Dada Rukia
  6. B

    Ni Quotes au msemo gani uliokuvutia hivi karibuni?

    Wangu ni huu Laaziz kipande cha mzizi, umenipa tende sharti nikupende!
  7. B

    Angella kuvuliwa mataji yote?!!

    Uamuzi wa maana sana. Ni vuziri unapofanya kitu ujiulize kwa nini utafanya na kitakusaidia nini. Angella alitakiwa kusoma na kuelewa mkataba wa hayo mashindano ya umiss. Big up kamati chini ya Lundenga.
  8. B

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man U for Life... Mwendo ule ule kama msimu uliopita...
  9. B

    What are your favorite classics?

    habari wana JF, I am a new member by the way. Nimevutiwa na maoni mbalimbali mtoayo na ku-discuss. My favourite classics: Songs Earth Angel- The Penguin My girl- The Temptations I'll be dreaming of you- Selena. Movies: Temptations
Back
Top Bottom