Search results

  1. Z

    My God!!

    Dunia ndio imefikia hapa sasa. Very saddening.
  2. Z

    EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Tuwasiliane mkuu, ili tufanye kazi pamoja. Nipo DSM. Anuani yangu ni massawe1990@yahoo.com
  3. Z

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Bado siamini kuwa Mhe. Chacha Wangwe ametukoka!!!!!!!!!!!!! Inauma saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pole nyingi kwa mjane wa marehemu, wanandugu na wananchi wote wenye mapenzi mema.
  4. Z

    Zitto apewa majukumu ya Kimataifa

    hongera Sana Mhe. Zitto
  5. Z

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Mwafrika wa kike, Ninakubaliana na wewe kwa 100%. Na ukweli huu ndio unaofanya moyo wangu mdogo kuvunjika kabisa, na kukusudia kufumba macho na masikio yangu ili nisione wala kusikia haya mauzauza. Im very proud of my country TZ. Nimejaribu kuwa mzalendo kwa nchi yangu mara zote...
  6. Z

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Mkandara, Frustration kama hizi ndizo zinanifanya nikimbie hili baraza. Maana mtu unapata pressure kwa hasira na disappointments pasi na kifani. Vijana tunajiuliza hivi haya mauzauza yanayoendelea nchini kwetu tunayaona sisi tu, au hata wazee wetu waliobobea katika siasa nao pia wanayaona...
  7. Z

    Buriani Amina Chifupa!

    Mkandara, Nilikuwa nakuja kupost hii news, nikakuta tayari umeshaiweka. Nilikuwa naongea na wanafamilia huko home, ndio wakaniambia kuwa walikuwa wanaangalia breaking news kuhusu kifo cha Amina. Sina cha kuandika kwa sasa zaidi ya kusema roho inaniuma sana. Ninaungana na familia za...
  8. Z

    Je, wapinzani ni wakombozi?

    Mimi sipendi sana kushabikia siasa maana sizijui, but post ya Mnyika inasomeka vyema sana. Na pia nakubaliana na Mkandara kwamba its another politaca blander, safari hii toka upinzani. Mnyika sikiliza mahojiano, na urudi hapa kukata issue. Hii issue ya bwana Zitto itatusaidia sana vijana...
  9. Z

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Jamani wana forum, Naona hili suala la mambo ya ukabila linataka kutupeteka pabaya sasa. Ili mjadala huu ulete maana, issues ambazo ziko too personal, na ambazo mchangiaji ama hataki kwa makusudi, au la hana info za kusupport/justify hizo allegetion zake alizopost hapa foramuni naomba...
  10. Z

    Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mkandara, Mtikila aliomba ruzuku strategically. Alichokusudia ni kumetega JK akubali ofa hiyo, ili ijustify madai ya upinzani kuwa ameshinda kwa kuiba kura. Na JK naye akaingia kwenye 18 za Mtikali kwa kukubali hilo deal la ruzuku. Kazi kwelikweli, msikilize Mtikila vizuri akizungumzia...
  11. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Zanaki, Sasa nimeshaona mbali kabisa kuhusiana na hili sakata. Ni kweli kwamba ZEK, wapo pale kihalali, na RG ipo mbele yao. But, ZEK walipata miliki ya kiwanja hicho lini????? Sababu wamejenga pale juzijuzi tu. Wakati RG ilishakuwepo hapo kwa miaka mingi. Je ZEK walikuwa tayari na...
  12. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    KM, Nimesoma hiyo habari hapo juu nakuelewa kwanini Magufuli analalamikiwa kama Magufuli. Kumbe hati ya kiwanja cha RG ilipatikana mwaka jana tu, basi kweli tunao viongozi. Haihitaji mtu kuwa engineer kujua kwamba sehemu kubwa ya bar ya RG ipo ndani ya hifadhi ya barabara, na hivyo uhalali...
  13. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    KM, Asante kwa taarifa moto. Mwenye macho haambiwi tazama, Magufuli kasema yote hapo juu. Kama mwenye Rose Garden anakibali halali toka wizarani, then wanaotakiwa kujiuzulu/kufukuzwa kazi wapo lukuki. Hawa madiwani aibu tupu na siasa zao za kukurupuka, za mitaani. What a shame.
  14. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Dua, Uandishi wa namna hii ndio unawafanya watu wengi waidharau fani hii ya uandishi wa habari, na kuiona kama fani mbadala, kwa maana ya fani nyingine kushindikana. Kweli, Mhariri mzima wa gazeti la serikali anaweza kuandika habari ambayo wala sio makala, kwa ushabiki mkubwawa namna hiyo...
  15. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Mkandara, Nimekupata, Thanks.
  16. Z

    Mtikila ashinda tena kesi ya mgombea huru; Afungua upya Mahakama ya Afrika Mashariki

    Mchungaji Mtikila kufungua kesi kusimamisha uchaguzi Tunduru Na Mathew Kwembe © Mwananchi Communications Ltd Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila leo anafungua kesi Mahakama kuu kusimamisha uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Tunduru. Akizungumza na waandishi wa habari jana...
  17. Z

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Kadiri ninavyojua mimi, Rose garden ilianzishwa kama bar isiyorasmi pale ilipo, and by then (10yrs ago) it wasnt a big deal at all. Mwenye bar anajua kabisa yupo pale isivyo halali. Na ndio maana, licha ya kipato kikubwa kinachopatikana ndani ya bar hii, still hakuna uwekezaji mkubwa...
  18. Z

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Nadhani haya mahusiano yanayozidi kati ya TZ na Iran, pamoja na ya Somalia na Ethopia ndio yanapelekea US kuweka kituo cha kijeshi Afrika. Na mimi kwa upeo wangu huu mdogo, ninaziona kila dalili za balaa hili kumwaga ama kama sio TZ basi popote ndani ya EA, kuhakikisha kuwa TZ tunaendelea...
  19. Z

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Wana JF, tuendelee kupiga kelele hapa,kumbe wanasikia tena kwa kasi ile ile waliyoianzisha. Mimi sijali chama, najali maendeleo. Na pia natoa ari kuwa wana JF tuendelee kuwahimiza waTZ wenzetu wengine kupitia hapa JF japo once a week kwa nia ya kujihabarisha kuhusu yanayojiri nchini kwetu na...
  20. Z

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    HakiElimu wameitwa kukutana na PM dodoma. Natumai HakiElimu watatumia nafasi hiyo kumuelewesha mpendwa kiongozi wetu kuhusu kazi wazifanyazo na nini mipaka yake ili next time kusiwe na migongano. I hope pia HakiElimu hawata tetemeka wala kuchemsha kwa kuitwa kwao huko na PM. Wakumbuke tu...
Back
Top Bottom