Search results

  1. D

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Awamu ya Mama ni yakuongeza Makalio na Matiti, Fullstop
  2. D

    Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Kwa Vichekesho hivi na vingine vyote vifafanavyo na hivi usisite kutembelea www.ccmmaigizo.co.tz
  3. D

    Mtandao wa "Google Search India" watikiswa, Rais Samia akitafutwa kama dhahabu

    Kwa hadithi hizi za Kuchekesha na zingine zote zifafanazo na hizi usihangaike tembele www.ccmmaigizo.co.tz
  4. D

    Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

    Anyway wakati wengine walipokuwa wananyanyaswa na vyombo vya Serikali kuwa hawatendi haki , baadhi walikuwa wanatamka kuwa " WAACHWE WANYOOSHWE KWANI WANAIIBIA SERIKALI" na waliyatamka haya baada ya kuaminishwa na WATAWALA, na wengine wakidai " ANAUPIGA MWINGI" hata walipoonywa kuwa hamna...
  5. D

    Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Yaani haya yalitakiwa kuwa utekelezaji wa msingi toka wakati wa Uhuru sasa mnakuja kuyafanya kwa sasa mnawa brtain wash wasiofahamu|? Halafu mnaita maendeleo, Ujunga Mtupu
  6. D

    Kuzuia kongamano la wanaharakati Mwanza ni udhaifa kwa CCM na Serikali

    Kwami ni lini CCM ilikuwa IMARA,
  7. D

    Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    Mimi nadhani hili kamalizaneni vyumbani kwenu hayatuhusu
  8. D

    Mahita na Kingai si Makada wa CCM kweli?

    Wanaachaje kwa mfano? Ila nakuwa na shaka na ukaribu wa Kiangi na huyu Mtoto wa Mahita, katika namna ya kwamba ukaribu wao, je Kiangi hakuingia kwenye ajira ya polisi wakati wa IGP Mahita akiwa madarakani? na je ni vigezo gani vilitumika kumpandisha mpaka cheo alichonacho cha ACP?
  9. D

    Je, Uhuru wa kutoa maoni kwa Watanzania umerudi?

    Fanya yako wakupige Cyber Crime
  10. D

    Mara: Polisi yawashikilia Wafuasi wa CHADEMA Waliokuwa wanafanya Usafi kabla ya Kongamano la Katiba

    Kwa tunapoelekea ni bora wakawa vichwa ngumu tu, maaana mwenye majibu anatengeneza MOVIE, wasaidizi wake wanafanya yao
  11. D

    Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Labda ilani yao ya CCM
  12. D

    Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Ma - DED yalivyo mambo ya ajabu

    Duh huyu si inasemekana yule DED wa BAHI ndio Bi Mkubwa wake, na nimeona CAG katoa angalizo kwenye hii Wilaya? Au ndio kupigia Debe akiongezewa Tumshahara then atapata HATI safi ya CAG? 😂😂😂😂😇😇😇😇 Ni wazo tu wajumbe
  13. D

    Haya sasa ni Maradhi ya Rais Magufuli

    Anayakumbuka haya aliyoyanena au?
  14. D

    Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

    Haya Eng. Soma hiyoo nasema soma hiyo alaaaaa
  15. D

    Kiashiria cha pesa kupotea: BOT yashusha zaidi deposit ratio toka 9% hadi 7% kwa mabenki kunusuru ukata mifukoni

    Safari bado ni ndefu sana haya mambo yanahitaji majadiliano ya ujumla, huku kujaribu kudonoa donoa sijajua kama itakuwa suluhisho anyway all the best.
  16. D

    Ubelgiji: Upasuaji mkubwa wa mguu wa Tundu Lissu, umemalizika salama kwa mafanikio makubwa

    Sio Ndungai abaki huko aliko, maana hata hatuelezwi hali yake, tunasikia tu kavunja kamati yeye hajitokezi, kwa mara ya kwanza simuoni kwenye FONT PAGE ya picha ya uzinduzi wa TRENI YA UMEME.
  17. D

    Ubelgiji: Upasuaji mkubwa wa mguu wa Tundu Lissu, umemalizika salama kwa mafanikio makubwa

    Mungu azidi kumjalia afya njema, na hata kwa hili atamvusha tu. Stay Blessed Tundu A. Lissu
Back
Top Bottom