Search results

  1. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Sasa nimechemka nini Mkuu? Mimi nimeleta habari yangu, nawe umeleta yako...vyanzo tofauti.
  2. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Acha kujificha kwenye mafumbo...eleza sijui kitu gani ili tueleweshane kwa hoja
  3. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Mkuu Lupweko, pamoja na kwamba umewahi kutoa Kanuni ulizoziweka hapa, Kanuni inayotumika hapo ni ya kwanza (1). Hiyo ya 3 ni kwa maonyo ambayo hayasababishi kusimamishwa...mfano kadi 1 au 2 za njano kwenye michezo tofauti ya hatua za makundi. Kabla ya kulenga kukosoa, elewa kwanza.
  4. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Hujui lolote kuhusu mpira wa miguu ndugu..
  5. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Nimeokoteza au nimetafuta mwenyewe? Mkuu, kadi 3 za njano huweza kumsimamisha mchezaji kucheza...hata hapa Tanzania hutokea hivyo
  6. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Mkuu, wakikosekana wote hao bado watabaki salama?
  7. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa: RISK OF SUSPENSION This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension. Compact Detailed Player Age Yellow cards Appearances Cards/Match Ronwen Williams Goalkeeper 32...
  8. Petro E. Mselewa

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Wangesema hivi kipindi akiwepo. Kusema sasa si sawa hata kidogo
  9. Petro E. Mselewa

    Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  10. Petro E. Mselewa

    Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Maelezo ya aina hii yalipaswa kutolewa na Makonda kama Msemaji wa CCM. Kutolewa na huyo Afisa kunaongeza maswali mengi yanayokosa majibu. Tunatarajia pia, kama maelezo ya Afisa ni ya kweli, CCM kumburuza mahakamani mmiliki wa v8 husika kwa udhalilishaji wa chama chao. Ama sivyo...
  11. Petro E. Mselewa

    Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    Aisee...tutalifanyia kazi jambo hili. Halitajirudia tena.
  12. Petro E. Mselewa

    Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Yaani taarifa ndefu lakini haijamtaja mhusika. Kama Wakili, mwanachama wa TLS, nimesikitishwa sana kwa hilo. Hapa lazima kila ovu liwekwe wazi na wahusika kuchukuliwa hatua. Ufisadi upingwe kwa matendo!
  13. Petro E. Mselewa

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Ningeshangaa sana kama usingemtaja Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu. Maana wewe na Lissu, Lissu na wewe. Hakukauki mdomoni mwako. Pamoja na porojo na vituko vyako vyote kwake, Lissu amekuzidi kila kitu. Naamini huwa unaona fahari na unapata wachangiaji wa porojo zako ukiwa unamtaja. Bure...
  14. Petro E. Mselewa

    Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

    Mkuu, Jokate amezaliwa Marekani. Lakini, amesoma na kuhitimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2010)
  15. Petro E. Mselewa

    Marais wa Afrika mashariki wakubaliana kwa kauli moja kumuunga mkono Raila Odinga Uwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika

    Hatimaye Rais Ruto anaelekea kumtafutia cha kufanya Raila na yeye kupumzika na kuufaidi urais wake. Rais Ruto ni akili kubwa!
Back
Top Bottom