Search results

  1. M

    Yussuf Makamba amwinda Reginald Mengi, yeye awataja mafisadi Papa rasmi!

    laiti kama wangekuwa wanafanyiwa kazi ipasavyo wala tusingekuwa na nyimbo za kila siku, hivi kwa nini sheria ya kukata viungo isingebadilika na watu wote hawa wakakatwa wao? at least lingekuwa fundisho
  2. M

    Deci kumekucha;onyesha risit;aa ushavuna wewe ...mmh

    unajua sijui ni ushama au upungufu wa akili kwa kweli kama hawa DECI wangekuwa na la maana wanalofanya kungekuwa na faida inayoonekana, ila kwa akili zetu fupi za madafu hatukuangalia kama wanafanyia nini hizo pesa, eti jamani huenda uchumi wangu ni wa vidudu maana kwa nijuavyo mimi hamna...
  3. M

    Nidhamu ya Chama: Kiini cha Kudorora Viongozi wa CCM!

    unajua wameshazoea kwamba mtu wanayemchagua anakuwa yeye ndiye, halafu hawakosei caguo lao lazima lifike miaka kumi madarakani lau kama basi Kikwete anaficha mafisadi, magubeli wakubwa wasio na haya yeye akiwa kama kiongozi wao. hata mtoto anajua hii nchi imemshinda mzee mzima.. ila safi sana...
Back
Top Bottom