Search results

  1. K

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Who owned the house? It should have a plate state "Governor Mansion." This will tell us it is a public house and should never be sold. Why he has the right to have a pool! Mtei was living on his own house, Rutihinda was living in government house, all other since Rutihinda have been corrupt...
  2. K

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Bring an appraisal professional to estimate the renovation cost and compare it with actual cost. Anything exceed 3% of estimated cost is not accepted. The problem in Tanzania and Africa is that the government is promoting people until they reach the level of incompetency. It is time to help...
  3. K

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Utaratibu uwekwe wazi kwa zabuni kwenye magazeti. Walionunua nyumba za serikali waorodheshe....hii ni kulinda upotoshaji wa hali ya juu. Serikali ingenufaika kwa kutumia vyombo vya habari kumulika uwizi. Pia, malipo ya kodi za nyumba yawekwe kuwa mali ya umma ili watu wasaidie kuchambua...
  4. K

    TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

    Umaskini wetu ni umaskini wa akili za uongozi. Utumiaji mbaya wa fedha kama wa Balali na Ndulu ni mfano wa jinsi tusivyoweza kutumia fedha kwa busara na kuitwa NCHI MASKINI....Je, hii inawiana na akili za viongozi hawa? Viongozi wa benki wanahongwa na kuitapeli benki kwa vile BOT siyo binadamu...
  5. K

    Sabodo amgeuka Butiku, amsifu Mtei

    Echonza, Ni kwanini Tanzania ni maskini wakati tuna amani na rasilimali mbalimbali kuliko nchi nyingi za Afrika. Good governance requires OPEN government and not cheap talk. Sabodo asked and you should expect an answer...not a question. Nionyeshe vyama vya siasa vya ulaya vinavyomiliki magari...
  6. K

    Sabodo amgeuka Butiku, amsifu Mtei

    Kushuka kwa thamani ya fedha kunawiana na rushwa... Nchi inapokuwa na rushwa na siasa ya udanganyifu inayoliibia taifa rasilimali za dhahabu, almasi, na kadhalika, basi nchi hiyo huwa haina akiba ya taifa Hii ina maana nchi hupata madeni na fedha hulazimishwa kushuka thamani. Uchomaji wa benki...
  7. K

    Sabodo amgeuka Butiku, amsifu Mtei

    Hii aina maana yeyote sasa. Ukweli ni kwamba Panapo matumizi mabaya pamulikwe. Na wahusika wawajibike. Hii tabia ya kiswahili ya kulumba ni ya fikra dhaifu. Jibu swali na siyo kurusha swali kujibu swali. Watanzania sio mbumbumbu wazungu wa reli. Msema kweli atatunzwa.
  8. K

    Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

    Twapika majungu kuwa ukweli njaa. Freeman alizaliwa mwaka was Uhuru wa Tanzania na hivyo kupewa jina Freeman. Hii haina uhusiano wowote na mapenzi ya kichinichini. Nyerere alikuwa mwadilifu na asingependa kumpaka Mbowe matope. Mbowe alikuwa kama mfadili was TAA na TANU hivyo angetumia nguvu...
Back
Top Bottom