Pole na shughuli.
Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m.
Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea...
Pole na shughuli.
Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m.
Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea...
REQUEST FOR PUBLIC COMMENTS BY A TANZANIAN WEB STARTUP IN AFRICAN NEWS INNOVATION CHALLENGE
Gushit is a Tanzanian based contents distribution and engagement startup operated by Jigambe Technologies Limited (JTL) that owns other websites such as TanzaniaKwetu and JigambeAds among others...
Hebu pitia hii link How to Heal With Tanzanite | eHow.com uone tulivyobarikiwa kwa rasilimali watanzania... kumbe tanzanite sio kua ni vito tu bali yaweza kuwa dawa...
Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!?
Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
I'm looking for STRICTLY TANZANIAN WEBSITES that offers affiliate programs.
If you have (or you know) an affiliate program in your website(one owned by a tanzanian or someone living in tanzania) please comment and give us a link directing us to the affiliate program.
Thanks.
Yap, lazima wataweka grace period na pia kutakua na "backward compatibility"... That is, itakua webserver zitakua zinasema requirement is php 4.3 or higher... Nadhani watatoa grace period ili kwamba watu wasiumie sana (ingawa grace yenyewe itakua wao wanaiona kubwa na sisi tunaiona ndogo sana as...
Sio hvyo tu, kuna vyuo vingi sana tanzania vinafundisha programming, cha kwanza ni university of dar es lakini havijaorodheshwa hapo kwenye hiyo link... Nilitaraji walau some people from hvyo vyou nao wangeweka hata comment kua vyuo vyao navyo vipo!
Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html
Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!?
Let's be active!
I have been going through this... I see some major changes from them, ila naona kama it will soon change again cz they are using php and funny enough is, php will nearly change to version 6.0 from 5.4...
Kwa programmers, tunasema: "that's the bad side of technology being too fast"----- kabla...
Mimi nitashiriki kwa nguvu kabisa jijini mbeya...
Kinachonibana kwa sasa ni ku nataka mada au muuongozo kua, niwape semina gani vijana hao!? Yaani niwafundishe nini!?
Bwana mtazamaji, nikipata watu wanne kama wewe tutakua far sana kwa ICT hapa tanzania!
Mi nina ushauri katka hili...
Kuna watu wanaitwa content providers, hao ndio walitumiwa na google mwanzo kabisa katika kutengeneza maps zinazotumiwa na google... Walifanya survey kuanzia serikali kuu mpaka serikali za mitaa pamoja na kuhoji wazawa pale ilipobidi... Baada ya kupata vivid proof walifanya data input za hizo...
Yap, its great... Namuunga mkono bwana @mtazamaji kwamba Developers wa hapa sio kua hatuna mauwezo bali ni kua tunapata shida kuunganisha development skills na real-life requirements!
Your idea is cool, especially if you have great contents kama alivyo issamichuzi (ana contents nzuri ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.