Umesikia habari zao au umewajua kwa kuishi nao??,,fanya utafiti vizuri mkuu,,mtafute stamina au ay wakupe uzoefu ndio utawaelewa vizuri kama wale ni watu wa aina gani,,[emoji23][emoji23][emoji1787]
Kwa akili ya kawaida kabisa ya mtanzania mpiga kura wa kawaida kunaonekana hapo CWT pana asali tamu sana ambayo ukiilamba mara moja tu basi hubanduki,,,alikataa teuzi January,September aliambiwa arudi kazini akakataa,,wamemfukuza kazini kwa kufata sheria ya utumishi wa umma Bado anasisitiza CWT...
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
Ukikutana na msomi wanakuwaga smart sana ila wanapenda sana starehe, pesa kutolewa maji na ukiwa na uhusiano nao ukiyumba kipesa unachapiwa njenje. Pia ni wajeuri maana kwao zipo sheria nyingi zinawalinda kwaio anao uwezo wa kukufanyia ungese na usimfanye kitu chochote kile.
Cha ziada wako na...
Sasa kwa mazingira kama hayo hata ukaongea then ukanyamaza kimya inategemea mwanamke bado atakuwa na amani???,,maana kama ukimpiga utaleta matatizo tena ya jinai,,kwaio dawa kubwa ni kuwa kimya,,na si wote wanaweza kufikiria kukuua wengine huwa wanajiadhibu wenyewe kwa kujipa talaka unakuta...
Asili ya mwanadamu ni kwamba mwanaume lazima ale kwa jasho na mwanamke lazima azae kwa uchungu that is nature,,jukumu la kutafuta ni letu sisi wanaume kwaio hiyo ndo ukweli na utabaki kuwa hivyo,,,bila pesa kweli uanamume wetu unakuwa shakani na bila kuzaa uanamke hauna maaana
Mmiliki wa mayanga construction anajulikana na ni msukuma mmoja wa mwanza anaitwa Jidula,,huyu kaoa familia moja na marehemu mwenda zake kwaio alipewa tenda nyingi kwa sababu ya undugu huu alikuwa nao na mwenda zake na Sio kweli kwamba kampuni ilikuwa ya mwenda zake hapo bwana kabwe alipotosha...
Mjomba tafuta pesa,,heshima ya kwanza dunia hii kwa sasa ni kuwa na pesa nyingi sio kuoa au kuolewa,,jaribu tu uoe hapo halafu ukawa huna pesa dharau utayopata itakuumiza utaona mara mia ya hii unayopata sasa hivi,,,na ile kuwa na pesa tu kuna wanawake watakuja wengi mpaka utawakataa
Uko na degree lakini naona haijakusaidia,,,maisha ya mtaani na akili za kusoma darasani ni vitu viwili tofauti lakini vinaweza kuwa vinategemeana.ukweli ni huu''wapo wanawake wana elimu lakini hawafai kuwa wake bora na wapo pia wanawake wasio na elimu ila ni wake bora,,pia wapo wasio na elimu...
Amini usiamini huyu mwanamke ukimuacha ipo siku haya na wewe yatakurudia utakutana na mwanamke unayemuona ni sahihi kwako na yeye hatakuwa na chembe ya upendo kwako atakuja kukusumbua sana na utamkumbuka huyu unayetaka umuache,,upendo wa kweli wakati mwingine unahitaji muda,,kadiri muda...
Na je ukisikia mkeo kaenda kulazimisha atafunwe uko nje na mtu,,na yule mtu akamtafuna hauta umia??,,jibu utalopata geuza opposite yake ndo karma yenyewe
Hakuna adhabu kubwa ambayo unaweza kumpa mwanamke pale anapokukosea na akawa anajua fika kama amefanya makosa na wewe kama mwanaume ukakaa kimya asijue unafikiria nini,,,hii ni adhabu kubwa sana kwao maana atahangaika muda wote kujua unachofikiria na kama una msimamo hawezi kamwe kujua na hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.