Search results

  1. Nanaa

    Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Nashukuru Mungu ndoa yangu imefanyika salama, Nawashukuru wote kwa nasaha zenu. Sasa nami nimeiacha rasmi kambi ya ukapera...Alhamdulillahi.
  2. Nanaa

    Mke raha jamani

    Jamani ndoa rahaaa, Hata mume pia mtamuu. Natamani nimtafune nimmeze.
  3. Nanaa

    Petit Man, Esma mahaba upya

    Halafu Law si ndo ina kifungu kinachoruhusu ubunifu wa mavazi kwa kila mtanzania.....!
  4. Nanaa

    Petit Man, Esma mahaba upya

    Usijali utapigishwa push up tatu tu...ndo adhabu yako hiyo.
  5. Nanaa

    Petit Man, Esma mahaba upya

    Anaogopa cyber crime etiii, anaogopa kubakwa segedansi...na msukuma kasema hamtolei MTU dhamana.
  6. Nanaa

    Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa huko Moshi-Kilimanjaro

    Hahaaaa ugomvi huo, mimi sio mchaga, yangu ijumaa...hapa nimefungiwa ndani nafundwaa....lol...sina pa kutorokea.
  7. Nanaa

    Mrejesho: Hatima ya mauzauza ya mke wangu

    Kwa hiyo unataka kusema uwanga umeacha? Na ndugu zako wameacha ulozi? Next time akipata mganga mwingine atamwambia unachepuka upewe limbwata uwe Ndondocha.... Endelea kumkumbatia mwanamke mshirikina tu.
  8. Nanaa

    Petit Man, Esma mahaba upya

    Hahahaaa umbea na kazi Mukweee, usisahau na log book....
  9. Nanaa

    Petit Man, Esma mahaba upya

    Lesson plan ushaandaa? Tinga Tinga linapita pita huko maofisini.
  10. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Hahahaaa umedodaa, nawia kaisiki shoga anguu...si kwa bwawa hilo.
  11. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Hahahaaa unaishi wapi nikuletee kadi ya mwaliko? Wanawake wazuri wazuri tunaolewa, utabaki nung'ayembee unakitembeza hadi kiote sugu.
  12. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Wanajitia U classy hawataki ndoa halafu miti wanapigana kama kawa....Uchafu mtupu.
  13. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Hahaa hadi kanogewa akaamua kubeba jumla jumla....
  14. Nanaa

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Asante... Hadi machozi yamenitoka, kumbe huyu mama ni mafia hivi? Naikumbuka ile siku Ulimboka kaokotwa anapelekwa Muhimbili, nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwa kweli niliumia kwa hali aliyokuwa nayo. Kumbe huyu mwanamama ndo alikuwa behind the scene? Mola amsamehe....
  15. Nanaa

    Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

    Kama ni kweli Mungu amsamehe, Nilimpoteza baba yangu kipindi cha Mgomo, Tulipompeleka hospitali tulikuta madaktari wapo kwenye kikao cha mgomo, Mzee hakuchukua muda akafariki.
  16. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Am not strong as my Man, kumbuka nilitoka ubavuni mwake.....Hata nifanyeje siwezi shindana naye...I feel protected having him....So marriage is my first priority..... Alhamdulillahi naolewa next week....
  17. Nanaa

    Hawana maisha mazuri, hawajiamini lakini hawaishi kuwaza ndoa na watoto wengi

    Mwanamke hapangi ataolewa lini, acha kujifariji. Hata uwe na Uhuru wa fedha kiasi gani mwanaume ndo atapanga lini atakuoa. So usijipe stress za bure, wewe zidisha tamu, ukimkoleza atakuja kukuoa.
  18. Nanaa

    Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Asante kwa ushauri wako, ila naamini sisi waafrika toka kale hatuna specific place ya kujifunza, popote pale tunapata Elimu (rejea informal education) Tayari nimeshapewa mafunzo na watu wazima, lakini kumbuka ulimwengu unabadilika, kale si sasa...nimeleta mjadala humu nipate mawazo ya...
  19. Nanaa

    Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Mliochangia wote nawashukuru kwa Elimu mlonipa, mmenipa mengi hasa, sina namna nyingine ya kuonyesha shukrani yangu kwenu zaidi ya kuwaombea Dua Mola awazidishie busara.
Back
Top Bottom