Search results

  1. Mzalendo

    Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

    ungeniambia zao la ming'oko kidogo ningejua labda aliyekutuma angalau aliyemtuma kukutumia wewe labda amepata usingizi angalua wa lisaa limoja tangu hili jina la mbobezi Membe kutajwa lakini kwakuwa umekuja bila kuchanganya na za kwako karibu upokee vidonge kama ma lumpen wenzako hili upate usingizi
  2. Mzalendo

    Membe: Hakuna mtanzania aliyefariki kwa vurugu za Afrika Kusini

    Wakuu, MEMBE kasema yakwake kwa vigezo vyake nasie ambao tunaushaidi mbadala wakufhibitika tujenao swala la kujaza maserver kisa atushuguliza za kufanya zimepitwa na wakati
  3. Mzalendo

    Barua kwa Jakaya Kikwete

    Leo tunaomba tukuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, tunaomba tukupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka Baba while you are away...
  4. Mzalendo

    Kikwete yuko Vietnam

    Russia umempeleka wewe?
  5. Mzalendo

    Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

    Kumleta kutokea wapi?
  6. Mzalendo

    JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

    Ameondoka au kawasili?
  7. Mzalendo

    Nini kimemsababisha Membe kuzigeuka nchi nyingine kuhusiana na Nile Treaty?

    Hili la ubinadamu vema kabisa,Tanzania sio kisiwa na ndio diplomasia ya juu, maanake ukienda kwa wenzetu wa misri ,huu mto utazania kuna almasi ndani au ndio uzima unapatikana hapo,hapa Mhe Membe naona kajitofautisha sana na na wanasiasa wenzake ndani na nje ya nchi,maanake wengine kwakutaka...
  8. Mzalendo

    Friends of Hon. Membe wawajibu Rai...

    Kuna watu bado hawajapata mgao wa weekend,sasa bila kuweka password MEMBE, Uwezi draw kwa ATM sintashangaa mstari ukiendelea kuongezeka,wenzenu wanaongozwa na uoga na kukoseshwa usingizi na huyu MEMBE,hila tupeane michongo yakupost kwa malipo,natanguliza shukrani zangu za dhati
  9. Mzalendo

    Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Ndugu, Umenena vilivyo, ninaombi moja tu kwa mods yani post kama hizi hususan hii ni yakipumbavu inastaili mtu apewe kifungo kwa maslai ya taifa maanake hawa ndio wanaleta hisia za hasira mtu ukatamka la moyoni ukapigwa ban bure,asante
  10. Mzalendo

    Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Liko wazi kabisa huyu kaona kuna mtu ameshika mchanga anaelekea kwenye kitumbua chake
  11. Mzalendo

    Rais Kikwete anataka kuingizwa mkenge

    Sijaona tatizo na nia hiyo,wafanyakazi wengi wageni kwa sasa ni economic migrants na sio experts kama unavyojaribu kuhadharisha.angalia angola na mozambique .lazima tu centralise na hizo kazi zitangzwe nchini kwanza.huwezi niambia security manager,facilities manager na hr manager wa kampuni...
  12. Mzalendo

    Ufisadi wa kutisha wa Bernard Membe

    umesikika na una stahili kupuuzika
  13. Mzalendo

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    kwanfano mie nimelipia kupitia mpesa au tigo pesa mnajua aje member fulani ndio kalipia au kuna reffrence ya kila member peke yake au kuna kitu ambacho sijaelewa vizuri, asante
  14. Mzalendo

    Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

    huku mnabika jungu, wakati huyu mzee membe anaendelea kuliletea taifa heshima ebu bofya hapo chini ujionee mwenyewe Statement by Commonwealth Ministerial Action Group | The Commonwealth hatari kweli kweli
  15. Mzalendo

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    hii itawahusu pia wabunge? maanake wenzetu kila miaka tana wanakula kiinua mgongo
  16. Mzalendo

    Kauli ya Membe yaanza kumtesa

    Mie nachojuwa ukienda spain first 11 ya kandanda ya sasa inafahamika na wao wanajifamu fika yani kina cesc,inesta kadha wa kadha na uhakika hao wabaya 11 Mhe Membe wanajifahamu fika pia , hapa kinachofanywa na gazeti la MTANZANIA sio pre-emptive action bali ni premature ejaculation
  17. Mzalendo

    Kauli ya Membe yaanza kumtesa

    Katika hiyo orodha ya maadui wake kama bashe na rostam hawamo basi mhe membe atakuwa kashauriwa vibaya sana
  18. Mzalendo

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Kwanini wasirekebishe muswada wa kiinua mgogo cha wabunge ambao kila miaka mitano wanapewa, yani mbunge achukue kiinua mgongo anapo malizana kabisa na siasa na endapo atarudi tena anatakiwa akirudishe hicho kiinua mgongo na atakapo maliza tena anapewa nusu yake kama mtu anaye resit mithiani...
Back
Top Bottom