Search results

  1. Daata

    Dar: Mlinzi wa Kanisa anayetuhumiwa kumlawiti Mtoto Muimba kwaya kwenye vyoo vya Parokia apandishwa kizimbani

    Uovu ni uovu bila kujali Nani anafanya, awe mtu wa kawaida, au mwenye dhamana fulani eneo fulani iwe Kanisa, masikiti au serikalini, mtu ahukumiwe kwa makosa yake bila kuhusishwa na Imani au wadhifa anaoutumikia, na kama alitenda kosa kwa kutumia hiyo Kofia bado kosa ni la kwake.
  2. Daata

    Fahamu hii kuhusu kosa unalofanya...

    Unazungumzia makosa yapi
  3. Daata

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Kwa kweli uko kwenye hatari kubwa Sana ya kupata mgonjwa yaliyotajwa. Jaribu kupunguza au uache Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Daata

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Jambo moja nakushari na uzingatie. Set akili yako siyo kwenye tendo Bali matendo yako, tabia yako inaweza kumshawishi mwanaume kuwa nawe maisha yake yote au kwa huo muda wa siku saba ataoa wewe hutastahili kuwa mama wa watoto wake. Fikiria mbali zaidi kuliko tendo lenyewe maana unaweza kutoa na...
  5. Daata

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Ulijua Je wakati ndio kwanza anakuja
  6. Daata

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Lazima uliwe wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Daata

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Kwa maoni yangu hapo hakuna namna utaweza kumkwepa. Hata ukisema unaumwa utapelekwa hospital. We kubali tu suala la kuwa mume wako itatokana na muendelezo wa mahusiano yenu. Huwezi kukwepa na ukikwepa jamaa atasema una mtu wako huko ndio maana unamkwepa.
  8. Daata

    Usimamizi wa mirathi

    Toeni hatua za kufuata hadharani sio mnataka muende uchochoroni mkajuzane huko. Msaada umeombwa hadharani
  9. Daata

    Gypsy Rose atoka jela miaka nane baadae, baada ya kumuua mama yake

    Kwa hiyo alifake ulemavu wa binti yake ili aonewe huruma na kusaidiwa.
  10. Daata

    Maeneo yapi kwa Dar yana hoteli nzuri zenye faragha 100% na bei nafuu

    Mwambie kabisa Kuna siku yatamkuta, huku kwetu mtu amekatwa mapanga amepelekwa KCMC maana Ana hali mbaya
  11. Daata

    Kwa joto hili Dar sio sehemu ya kuishi binadamu

    Ulienda kutembea au ulifikaje Dar?
  12. Daata

    Wadada wa humu niacheni

    Hapana hata kidogo
  13. Daata

    Wadada wa humu niacheni

    Kwani umepatwa na nini?
  14. Daata

    Wewe ishawahi kukukuta?

    Kama siyo tatizo la afya ya akili basi Kuna kiumbe asiyeshikika amemtembelea na inabidi aombe dua au afanye maombi ya kukemea vitu kama hivyo visijitokeze.
  15. Daata

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Umeongea kwa uchungu Sana na binafsi nimekuelewa Sana. Mke anauma Sana.
  16. Daata

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Umesababisha hasara na maumivu katika maisha ya mwenzako. Kabla hujafa utalipa mara dufu. Hakuna kitu unachekelea hapo.
  17. Daata

    Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Kwenye suala la usafi niko makini Sana Tena akirudi chumba atakikuta kisafi na kila kitu kimepangwa vizuri. Sitaki uchafu mimi.
  18. Daata

    Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

    Watu hamlali
  19. Daata

    Nawachukia wanaume

    We umeshakuwa na Wanaume wangapi wa zamani?
  20. Daata

    Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

    Inaonekana huna kazi ndio maana unapata muda wa kukaa kaa tu
Back
Top Bottom