Search results

  1. G

    Kinda Like This Raza Guy...

    Geez, this whole rumande thing is the biggest fairy tale I have ever seen! You can mark my words: it's only a matter of time before you see Mramba, Yona, and some other mafisadi guys unaodai kuwa wako njiani kwenda kwenye sheria wakipeta mitaani freely. This rumande thing was simply a mediocre...
  2. G

    Kinda Like This Raza Guy...

    He's not a coward at least...
  3. G

    Kinda Like This Raza Guy...

    *[Sorry if this has been posted already]* I'm not confused about how I feel about this Masha guy--I think he is terribly misguided lunatic. But that's not what bothers me. The thing that bothers me the most, is the fact that sor far haya majingamajinga ya CCM yamefunga midomo yao na wala...
  4. G

    Stop Foreign Aid to Tanzania Campaign!!

    Nani aliwasaidia Waswidishi, Wanorwei...? I mean, Seriously dude! Are you really sure about this?? Perhaps I need to send you a copy of pre-modern world economy (history) book. Otherwise, you're just making stuff up!!!
  5. G

    This is too much.. Wazee nao warusha mawe Hazina!

    Good point, WildCard. I hate this Kikwete guy, ila hapa nitamtetea. Huu ni uzembe wa Mchonga.
  6. G

    Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema

    I mean, seriously: this is a very terrible idea! CHADEMA wanachotakiwa kufanya sasa hivi ni kulikuruti wasomi vijana wenye mvuto wa kupendwa na wananchi wa kawaida. Tumia pesa za ruzuku kuzunguka mashule, vyuoni, na hata nje ya nchi kuwalikuruti watanzania wenye nguvu ya kushawishi umma ili...
  7. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Mkuu, soma article yote [Alasiri] utaona outright bias iliyomo ndani ya hiyo article. Kukamatwa kwa watu wanne huko Nyamongo kwa sababu tu eti wamezomea vingozi wa CCM, ilikuwa ni spin/attempt ya Alasiri kujaribu kupumbaza umma kuwa, kweli kuna ushahidi wa viongozi wa CCM kufanyiwa fujo huko...
  8. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    I'll repeat again. Kuna tofauti kubwa sana kati ya vurugu na mapigano. Ninachojaribu ku-debunk hapa ni uongo wa viongozi wa CCM ngazi ya taifa ambao pia umechotwa na vyombo vya habari kuwa: Tarime hivi sasa kuna mapigano makali ya kikabila/koo yanayoendelea kwa kila kata/tarafa wilayani humo...
  9. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Vurugu za hapa na pale hata kigoma zinatokea. Ninachokataa mimi ni assertions za viongozi wa ngazi za juu wa CCM [Makamba, Msekwa] kuwa Tarime [hivi sasa] kuna mapigano ya kikabila na koo kila kata/tarafa unayotua/zunguka. Huu ni uongo wa kutupwa. Vurugu hata Dar zipo [mara ngapi tunasikia...
  10. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    You'd have to say that, overall, it's all of the above. 1.Kwamba, hizi ni siasa chafu za CCM kutaka kuvuruga amani Tarime kwa ku-inject suala la mapigano ya kikabila/koo baina ya wanatarime ili mradi tu washinde uchaguzi. 2:Kwamba, hili ni suala la uandishi mbovu wa habari. Habari nyingi...
  11. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Unachosema ni kweli mkuu. The truth is, CCM wanajua kuwa watapoteza jimbo la Tarime tena. So wanachofanya hapa ni kutaka ku-create narratives ili wakishindwa, waseme kulikuwa na fujo/vita/machafuko Tarime, kisha wakate rufaa ili matokeo yatenguliwe. Same game Warioba aliyomchezea Wasira mwaka...
  12. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Mwenyewe, brother yangu anafanya kazi kwenye kampuni ya Barrick. Nilimpigia simu couple of weeks ago baada ya kusoma habari kwenye magazeti ya Mengi kuwa "risasi zavuma tarime," lakini akanambia kuwa huo ni uzushi na kwamba tarime ni shwari kabisa. So sijui hizi habari za kipuzi zinatoka wapi?
  13. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Shy, I always thought you're such a smart guy, ila, seriously I'm disapointed hapa! Yaani hata baada ya jinsi media/CCM walivyojaribu kupakaza kwamba Mbowe amefukuzwa na mapanga huko Tarime [kwenye msiba wa Wangwe] bado unaamini kinachoandikwa kwenye media kuwa Tarime kuna mapigano ni cha kweli...
  14. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Thanks man for your depth analysis. ukweli ni kwamba: TARIME HAKUNA MAPIGANO. PERIOD! Ila hizi ni njama tu za CCM kutaka ku-confuse watu ili waibe kura kirahisi. And Media is solely responsible kwa kueneza huu uzushi wa kijinga!
  15. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Hakuna jipya kwasababu tayari wewe naye umekuwa brainwashed na talking points za CCM, magazeti ya Mengi, Rostam Aziz, na TBC1.
  16. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    What's your point?
  17. G

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Ombi: Hii ni independent thread hivyo ningeomba moderator (Invisible) aiache ijitegemee. In other words, P'se don't move it. I kindly request so. Now, the thing that bother me the most, I suppose, is that the journalistic excellence in Tanzania is almost zero or close to nothing. It's not...
  18. G

    Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini?

    6. Salim? Really? Prove it?
  19. G

    Pinda in his own words..."and I'm officially sad!"

    First of all, katiba iliyopo is so outdated and must be amended. And here is why... [1]: Katiba ya sasa inampa Rais madaraka makubwa sana ya kiutendaji. Bunge na Mahakama ni kama wasindikizaji tu, havina uwezo/mamlaka kabisa ya kuidhibiti serikali [in other words, there is no checks and...
  20. G

    Pinda in his own words..."and I'm officially sad!"

    I couldn't disagree with you more!
Back
Top Bottom