Search results

  1. S

    Uaminifu unalipa

    Ndugu zangu niwape jambo hili ambalo limenitokea mimi mwenyewe siku kama mbili zimepita, nilikuwa napeleka mzigo kwa mteja sasa kufika kwake nikamkabidhi halafu akanipatia pesa nikaondoka nikiwa bado maeneo yaleyale nikaangalia simu yangu nikagundua mteja alishalipia ule mzigo nadhani alisahau...
  2. S

    Uchaguzi 2020 Rais mwenye kibali cha Mungu, usifanye makosa kura yako

    Napenda niwataarifu Watanzania kama bado unajiuliza kura yako ya Rais umpe nani basi Magufuli ni chaguo sahihi kabisa kwa kweli miaka hii mitano ametuongoza vzuri kimaendeleo zaid naamini hii ijayo itaweka historia kubwa katika dunia hii lakini pia ni rais pekee Africa aliyepambana kuzuia corona...
  3. S

    Working permit ya Afrika Kusini

    wandugu nina shida ya kupata working permit ya southafrika niko dar je naweza ipataje hyo utaratibu wake kwa anayejua.
  4. S

    Nawapongeza Ocean Road Hospital

    Kwa kweli kama siku mbili mfululizo, nilikuwa pale Ocean Road Hospital. Huduma za pale zimenifanya niwapongeze kwa sehemu flani maana nilishindwa kuamini kama ni hospital ya serikali. Huduma ya kuridhisha kabisa, hata kama una shida wanakusikiliza bila hata rushwa. Mfano nilitakiwa kupewa...
  5. S

    Ibada zenye uwepo wa nguvu za mungu

    nimeshuhudia kwa macho yangu leo katika ibada viwanja vya sabasaba kwa mchungaji katunzi mtu akitapika pesa shilingi miambili zikiwa mbili toka tumboni,na pia watu wenye maagano na freemasons wakikamatwa katika maombi na kuonyesha ishara zao,wachawi na uchawi wao ,waliorogwa wakianguka chini kwa...
  6. S

    Kifaa cha ku control umeme majumbani

    jamani tusaidiane ninahitaji kifaa ambacho nikifunga kwenye nyumbA ya vyumba nane kitaniambia chumba gani kina matumizi makubwa ya umeme kama unakijua kinaitwaje hiko kifaa na kinapatikana wapi na bei yake mi nipo dar karibu na sabasaba maonyesho.
  7. S

    Rais bora ninayemtaka

    Tumekuwa na matatizo sana nchi za kiafrika kwa kudanganywa na maneno meeengi bila utendaji wakatibwa kampeni. Leo ngoja nitaje sifa ambazo kiongozi bora anatakiwa awe nazo. Jambo la kwanza sihitaji rais anayekwenda ulaya kukopa fedha huyu simhitaji kabisa bali aende nje ya nchi kutaka viwanda...
  8. S

    Karibu kwenye maombi kwa mchungaji Katunzi hakika Mungu atakusaidia

    Dada mmoja mitaa ya kwa azizally alifua nguo zake siku moja sasa wakati anaanika akakuta kuna nguo nyingine zimeanikwa akazisogeza kidogo apate nafas ya kuanika baada ya muda akaja mdada mwenye nguo zake akafoka sana na kwa kuwa yule alieanika alikuwa mdogo kwake akamzaba kibao yule dada...
  9. S

    Namshukuru mungu

    wandugu siku ya jana ilikuwa ya mapito sana kwangu maana juzi nilimtumia ndugu mmoja laki 6 kupitia wakala wa mpesa kariakoo sasa nikamuuliza kama ameipata akanijibu kaipata sasa asubuhi ya jana akanipigia simu kuwa hajaipata hapo ndio kichwa kiliuma maana mtu huyu ni mwaminifu namuamini japo...
  10. S

    Wilaya ya Bagamoyo

    Jamani wilaya hii ina majanga ya ajabu sana nianze na walimu ambao mpaka leo hawajapandishwa madaraja wakati Tanzania nzima kimeeleweka kwa sasa nasikia tatizo kubwa ni hawa maafisa utumishi wanachelewesha taarifa kufika wizarani kwa wakati kwa kweli sisi walimu tumechoka na kupunjwa mishahara...
  11. S

    Ushuhuda wa mabinti

    kama kuna binti au kijana ana shida yoyote haelewi pa kuanzianamshauri aje kanisani sabasaba viwanja vya ngorongoro kwa pastor katunzi kila siku saa kumi nimeona kwa machomabinti ambao waligoma.kwenda shule kumbe wametupiwa mapepo wasisome na sasa wamefunguliwa kumbuka maombi ni bure hapa kwa...
  12. S

    Usiombe kufanya kazi ualimu Bagamoyo

    Jamani inauma sana yani walimu wa Bagamoyo tuna majanga ya mishahara ni hatari ila cha kushangaza ni Bagamoyo tu kwengine kunaeleweka mfano barua za madaraja zimeandikwa may 2014 wakati walimu wengine mmeanza kazi pamoja wilaya nyingine walishapewa may 2013 manayake mwaka mzma watu wamelamba...
  13. S

    Fekon inauzwa cec 146

    pikipiki fekon cec 146 ipo mlandizi bei milion moja nipigie 0783797929/0717215506 inatembea iko vizur
  14. S

    Dereva wa pikipiki

    wandugu nina pikipiki ipo dar kwa azizally natafta dereva mwaminifu.ni pm
  15. S

    Mungu amsimamia mchungaji katunzi mahakamani

    yaliandikwa mengi katika magazeti ya udaku kwa lengo la kumchafua mchungaji katunzi lakini mahakama imethibitisha kwamba yuko sahihi kusimamia mali za marehemu mzee kulola kwa kuwa marehemu mwenyewe aliaguza hivyo kwa maandishi akiwa na mkewe na mashahidi wengine akiwemo wakili wa marehemu mzee...
  16. S

    nimeibiwa fekon t228cky

    siku ya tarehe 14/1/2014 nimeibiwa fekon pikpk yenye namba t 228cky maeneo ya kwa aziz ally karib na mtongani msaada wenu ktk kuitafta nambayangu 0717215506
  17. S

    Walimu na waziri wa elimu leo

    Walimu wa bwagamoyo leo wametembelewa na wzri wa elimu kawambwa akiwapia ni mbunge wa huko je kasema nini ?tunaomba taarifa
  18. S

    Wakopaji kuweni makini,matapeli.

    Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja. Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5, Ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini...
  19. S

    Ninahitaji wa kushirikiana.

    Jamani wana jamii mimi nina ujuzi wa kutengeneza sabuni ainazote na shampoo,mishumaa na vingine kwa sasa nataka kujikita na sabuni na shampoo,sasa nipo busy na kazi nyingine nahitaji mtu aliye tayari tufanye kazi tutafte soko halafu tunagawana kinachopatikana kwa makubaliana karibuni nipo daslam...
Back
Top Bottom