Search results

  1. M

    LHRC na THRDC watoa matamko kuhusu kushikiliwa kwa Maxence Melo

    Mbona hamjatoa tamko kuhusu kupotea kwa "Ben Saaanane" na maiti zilizozikwa kinyume na Haki za Binadamu,
  2. M

    Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Ni inbox no yako
  3. M

    Unatabiri nini kwa ziara ya Kikwete Kilimanjaro?

    Naona Utoh anaanza kuwekewa mazingira
  4. M

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Mfumo huu wa kumchangia aliye juu upo Sana kwenye Serikari,mfano ma RCP wanavyokusanya kutoka kwa ma OCD,OCCID kupeleka kwa IGP...
  5. M

    Tegeta Escrow: Kikwete Amepiga fyongo katika muda wa Dhahabu

    Ni uchambuzi mzuri sana Jk huwa hafikirii huwa anatekeleza kile anachotakiwa kukifanya Washauri wake wote ni wanamkakati waliowekwa kwa maslahi ya watu flan ndio maana vikimshinda anakimbilia kusema nimeshauriwa vibaya.
  6. M

    Dar: Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!

    Changamoto ya Kwanza kwa IGP mpya
  7. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Kwa kifupi huu ni mwanga sana kwa wale ambao wapo njia panda hasa kwenye maswala ya kiimani wengi walikua wanaamini kama wewe sio muumini wa dini tulizorisishwa na wazazi wetu,huwezi kua na imani
  8. M

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Nimeongea nao ku confirm darasa lipo na wanapokea wanafunzi
  9. M

    Tukio la bomu Arusha: Waandishi wa habari wa Television na magazeti hawakuwepo?

    Chakushangaza hakuna anayehoji hili na wao wamekaa Kimya
  10. M

    Tukio la bomu Arusha:waandishi wa habari wa television na magazeti hawakuwepo?

    Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya Mlipuko wa Bomu na uvyatuaji wa Risasi kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni za Udiwani wa Chadema,Ninachokiona ni watu kujadili yale ambayo yanazungumzwa na wanasiasa ambao kauli zao nyingi zina Utata ama zinaegemea Vyama vyao. Pia kumekua na Matamko mbali...
  11. M

    Tukio la bomu Arusha: Waandishi wa habari wa Television na magazeti hawakuwepo?

    Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya Mlipuko wa Bomu na uvyatuaji wa Risasi kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni za Udiwani wa Chadema,Ninachokiona ni watu kujadili yale ambayo yanazungumzwa na wanasiasa ambao kauli zao nyingi zina Utata ama zinaegemea Vyama vyao. Pia kumekua na Matamko mbali...
  12. M

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Poleni Sana Tunawaombea Kwa Mungu Mpate Nafuu ya Mapema
  13. M

    Jerry Silaa: Makosa ya wanaCCM wachache isiwe ni hukumu ya CCM

    Acha uzushi Kama jambo hulifahamu Uliza, Kwa taarifa yako anakaa Jimboni kwake
  14. M

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    Mi Nadhani Sio sahihi kuwaongezea Grades hao watoto waliofeli,ni kama kufunika Kombe huko mbeleni itakuwaje ?Na waliochora Zombe watapewa Grade gani Nadhani Kama wangekua na nia ya kuwasaidi wangewaandalia mchakato wa kurudia masomo Kama alivyofanya Tibaijuka jimboni kwake sio kupitisha...
  15. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hongera Lema,hongera Wanamapinduzi wote hii ni chachu ya Safari ndefu ya Ukombozi wa Mnyonge.
Back
Top Bottom