Search results

  1. Mateso

    Orodha ya matukio yaliyotikisa nchi tokea uhuru

    1962 ndo Udsm ilianza Lumumba na faculty of law
  2. Mateso

    Maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto kwa mfanyakazi wa bongo

    MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NDOTO MFANYAKAZI WA BONGO Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake anazozifany katika kupambana na ufisadi na kupigania maendeleo ya mtanzania na kuja na kauli ya maisha...
  3. Mateso

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Dini yoyote duniani ina kazi ya kuhubiri amani na uchumi kwa waumini wake. Kwa nini? 1. Kila mtu anahitaji afya ya mwili ili aweze kujenga uchumi na afya ya roho. Bila uchumi imara waumini watakuwa wanalia njaa na hawataweza kuhudhuria nyumba za ibada ama kusikiliza mahubiri ya kiroho wakati...
  4. Mateso

    Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Hii siyo sahihi kwani huwezi ukawa unajibu chochote kinachoandikwa na mwandishi yoyote wa habari. Kama ni Taasisi yoyote ingekuwa imetoa sawa lakini mtu binafsi kwa kujisikia kwake kuandika alichoona kinafaa kuandika huwezi kumjibu
  5. Mateso

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Thread poa ongezea na ya huyu mama Mkenya Stress Management (DR.Roseline Odede) How to Reduce, Prevent, and Cope with Stress If you’re living with high levels of stress, you’re putting your entire well-being at risk. Stress wreaks havoc on your emotional equilibrium, as well as your...
  6. Mateso

    Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Wakati mwingine tuwe tunatumia busara tunapo-post mawazo yetu huku. Naamini hii Forum wengi ni wasomi wa kutosha na anlytical. Umeambiwa kuwa aliaga kwa ndugu zake kuwa anaenda kufuatilia deni lake. Kwa nini usianze kuuliza kama alimtajajina aliyekuwa anamdai au kwa nini usijiulize kama na yeye...
  7. Mateso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    sana sana utaishia kunawa bila kula
  8. Mateso

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo kila mtu anayo hasa tunapomaliza mwezi mgumu wa januari
  9. Mateso

    Familia ya Lissu yahofia Lissu kufukuzwa hospitalini

    Msiwe mnapost vitu ambavyo hamna ushahidi navyo. Ukiitwa kutoa ushahidi mahakamani utaenda? Jua wahusika wakipelekwa mahakamani na wewe utaitwa kutoa ushahidi.
  10. Mateso

    Mkutano wa World Economic Forum huwa ni fursa, Rais wetu ameenda?

    Clinton alihudhuria mwaka 2000
  11. Mateso

    RC Makonda: Ambaye hatakuwa na kadi ya bima, hataweza kupata huduma ya afya katika hospitali

    Wakazi wa Dar wenye shughuli ya klueleweka ni wachache sana hivyo hili zoezi halitawezekana. Hebu fikiria mhudumu wa bar anahama hata bar 5 kwa mwaka, mmachinga hana makazi ya kudumu. Hawa atawapatiaje kadi? Au atakuwa anawalipia mwenyewe.
  12. Mateso

    Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Kama ni mwalimu kweli atakuwa anawatukana wanafunzi wake
  13. Mateso

    KILIMANJARO: Akamatwa kwa kumbaka binti yake mwenyewe

    Huo ni ushirikina kabisa. Jamani acheni kwenda kwa waganga wa kienyeji nendeni misikitini na makanisani. Waganga watamaliza hela zako na baadaye unaishia jela
  14. Mateso

    Kamanda Mambosasa awataka Polisi wasitafute makosa, na wale wa Pikipiki marufuku kutoza faini za makosa barabarani

    Tigo hawawezi kuacha kukusanya mapato yao maana wanaendekeza njaa sana
  15. Mateso

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    TYK. Kimsingi kanisa katoliki zamani lilikuwa na wafadhiki wengi hivyo wauumini walikuwa watoi michango na mambo yalikuwa yanaenda vizuri. Kwa sasa hivi hakuna tena wafadhili hivyo ni jukumu la waumini kuchangia kanisa ili yale yaliyokuwa yakifanywa yaendelee kufanyika. Ila hilo la kumtenga mtu...
  16. Mateso

    Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Ladha ya bianywaji. Ukitaka kujua ladha yake lazima uionje. Hata ladha ya pilau huwezi kuielezea
  17. Mateso

    Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Ya 3 ni wachache wanaochangamka wengi ikifika ya 5 ndo wanachangamka
Back
Top Bottom