Search results

  1. M

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    ijumaa ijayo NCCR nao waende kuonja maji ya ikulu kisha wanaharakati nao waelekeee huko wakanywe juice ya ikulu halafu wananchi tuamue wenyewe hatutaki mtu wa kukaa bele yetu
  2. M

    Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    mdau mwenyekujua hakimu alisemaje kuhusu kumuachia kwake huru maana tusianze kushangilia kibubusa
  3. M

    Zitto amtaka Waziri Mkullo apishe uchunguzi - Taarifa kwa vyombo vya habari

    Tujifunze kuwa na subira hizo ni tuhuma tuchangie zaidi asimamishwe nafasi ya uwaziri halafu tupime matokeo ya ripoti ya uchunguzi ndipo tuanze kusema kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi uchunguzi uliofanyika
  4. M

    Wadau wa Math's-IRINGA

    hivi kumbe watoto wa shule ya msingi mwaka huu walifanya hisabati kwa majibu ya kuchagu?
  5. M

    Wadau wa Math's-IRINGA

    Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
  6. M

    Interview Tcra,TIAA vp?

    iwe!ulio?boojo ta kamugisha? Bado bana hiyo kitu,mi nipo huku ndo tuko kwenye mchakato wa kuita.
  7. M

    Lets make Rostum Aziz the next President of Tanzania!

    ni kweli RA anatufaa thana watanthania kutuvusha walau hatua kazaaa
  8. M

    Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

    mwenyekt ni Jenista mhagama mh.mbowe alikuwa anasema neno viafunwa kumbe kwenye hotba halikuwepo ndo mkit akamtel aseme hansard irekodi hvyo vitafunwa vipigwe ful stop
  9. M

    Freeman Mbowe Bungeni Leo Live

    Anatumia current technlgy hana karatas hata moja vyote electronic
  10. M

    Duu, kumbe Dar es Salaam kuna shule inaitwa YUSUFU MAKAMBA PRIMARY SCHOOL!!!

    Inategemea ni nani anapima thaman hyo.
  11. M

    Wako wapi hawa wanamageuzi waliosaliti mageuzi na kurudi ccm?

    Prince Bagenda yupo shinyanga kama mwenyekiti au katibu wa ccm, Kabourou alikuwa mbunge wa east africa
  12. M

    Mawaziri makini

    1. Kwa sababu mikoa mingine haina mawaziri 2. Inategemea umakini unaupima kwa vigezo vipi?, kuonekana kwenye vyombo vya habari mara nyingi, kupenda kuonekana kama unafanya kazi bila kuangalia athari ya matendo yako yaani kuamua kufanya bila kupima Faida na hasara 3. Kwasababu...
  13. M

    This FRIDAY ON Star TV TUONGEE ASUBUHI - By Paul Mabuga (HOST)

    Tunapozungumzia maendeleo ya taifa lolote lazima kwanza lifanye mapinduzi kwenye viwanda, lakini huwezi kuwa na viwanda bila ya kuwa na umeme Endelevu(sustainable) hivyo basi kwa kuwa viongozi wetu hawako tayari kuleta maendeleo kwa wananchi wake wao wanadhani maendeleo ni kutuongezea majengo ya...
  14. M

    CUF: Sasa ni vita ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    Haki ya kupiga kura Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 Sheria ya 2000 Na.3 ib.4 5.-(1) Kila raia wa Tanzania aliyetimiza umri wa miaka kumi na minane anayo haki ya kupiga kura katika uchaguzi unaofaywa Tanzania na wananchi. Na haki hii itatumiwa kwa kufuata masharti ya ibara ndogo ya (2) pamoja na...
  15. M

    Neno La Leo: Mtoto Wa Mkulima Na Wasomi Wa Mlimani

    Bwana Mjengwa hii ndio Nchi yetu tumezoea kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu, kwa kweli ni aibu ukilinganisha utashi wa kisiasa uliojitokeza kuijenga UDOM kwa speed ya LIGHT na kuiacha UDSM ikienda kwa speed ya 24kbs, hapo tatizo ni wanasiasa kutafuta cheap popularity tu kwani wanaamini kuwa...
  16. M

    Mjadala wa Katiba Mpya on Star TV this Sunday

    Wageni studio zote ni akina nani, shivji au sengondo mvungi wawepo
  17. M

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    aliyelazwa agha khan ni SAID ARFI makamu mwenyekiti source Michuzi blog
Back
Top Bottom