Search results

  1. mary mary

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Zitto usaliti wako hautasahaulika vizazi hadi vizazi...mnafki
  2. mary mary

    Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

    Hahaha halafu mkimzungumzia hivi anajiona super star!
  3. mary mary

    Tukiwaendekeza CHADEMA: Bunge Zima Litajaa Wasanii wa Bongo Fleva & Movie!

    Kama wabunge wengi wa CCM wamejaa washirikina na wavuta bangi
  4. mary mary

    Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    ACT nani asiyewajua kwamba mlichangia damu kwa waganga wankienyeji...haya si maneno yangu ila Mtela aliwahi kusema mliapishwa na kuchanjiana damu....hatutaki vijana wanaoamini ushirikina mnaweza kututoa kafara nyie ACT
  5. mary mary

    Zitto Kabwe, the Smartest Politician of our times!

    Ni kweli yuko smart sana kucheza na akili za wananchi....msaliti hatasahaulika kwenye medani ya siasa kwa unafki wake kwa wananchi. Bravooo Zitto Kabwe
  6. mary mary

    Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Watu wenye dini zao si wajianzishie wenyewe mahakama? Kama vile taasisi za kikatoliki zinaanzisha masuala yao ya kidini kwa pesa zao na kufuata taratibu za dini yao. Mahakama ya kadhi can do the same!!
  7. mary mary

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Mi ntamkumbukaa alivyosema hajui kwanini watanzania ni maskini.
  8. mary mary

    Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Vijana wa Lowassa wamesambaa kila mahali tangu mwaka jana wameanza kupig kampeni. Ukitaka fuji mchokoze mmoja wao watakufuata kundi CC. Pasco teh
  9. mary mary

    ACT-Tanzania wajitosa sakata la CUF

    Sijawasikia ACT siku nyingi sana kumbe bado wanachechemea
  10. mary mary

    Dr Slaa alaani kupigwa, kuteswa na kukamatwa Professor Lipumba

    Kauli ya Mh Pinda ya "wapigwe tu" inaendelea kuwatesa watanzania
  11. mary mary

    ACT-Tanzania wajitosa sakata la CUF

    Hivi hiki chama bado kipo?
  12. mary mary

    Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    Nimecopy kama ilivyo kwa @mrekebishatabia instagram ===========
  13. mary mary

    Wenje awatuhumu wajumbe wa kundi la 201 kuhongwa!

    Jamani mleta mada pengine anaongea kinyume chake. Si vema kumshambulia namna!
  14. mary mary

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Sasahivi mwendo wa mipasho ndani ya bunge hadi nje...je watanzania tunahitaji kusikiliza hayo? ama kweli CCM ni mzigo!
  15. mary mary

    Maswali kwa Mwanakijiji na wengine wenye kufanana naye katika mtazamo wa siasa...

    Si kapteni wa kuinjinia watanzania wanaonyongwa CHina?
  16. mary mary

    Nape atakapohamia Chadema ......CCM ......!

    Soma signature yangu mkuu
  17. mary mary

    Lowassa mbona hata simjui!!

    Usimjue wewe wkt ndo anakuweka mjini? naona unaanza campaign....
  18. mary mary

    Dk. Slaa aligoma kwenda Lushoto kwasababu ya urafiki na Mzee Makamba uchaguzi mkuu 2010

    Kwahiyo umeanzisha uzi na kukoment mwenyewe...
Back
Top Bottom