Search results

  1. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Huyo mwenyekiti aliyetemwa si alikuwaga polisi bongo akatemwa kwa ajili ya madili na majambazi? CDM walimuokotea wapi huyu mwizi?
  2. T

    Mh. Ndesamburo awasili UK kuhutubia mkutano wa Chadema Milton Keynes !

    Moto tumeshauwasha ni vigumu kuuzima bure mwajisumbua Magamba mtakoma.
  3. T

    CHADEMA kuimaliza CCM Europe, Chris Lukosi kuanzisha 'Vua gamba vaa gwanda' ugaibuni

    Nyie subirini kichapo, hivi ulitegemea watu wahuthurie kama wale wa Kilombero? mikakati ndiyo inaanza mtalonga sana
  4. T

    Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

    Moto tumeshauwasha nivigumu kuuzima , bure mwajisumbua magamba mtakomaaaaaaa!!!!!!
  5. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Unaharibu hadhi ya JF, hao mafisadi wanaopora mali za nchi yetu wapo chama gani? wapi bora kati yao na madrug dealers?
  6. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Nafikiri wamegundua mchango wa Watanzania wenzetu walio nje unahitajika pia.
  7. T

    Mzee Makamba aibua siri ya Urais 2015

    Hahahaaaa!!! ati Chagua la Mungu , limegeuka limekuwa chaguo la .........
  8. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Ulitaka akwapue benki kuu?
  9. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Jua lwako ya cdm yanakuhusu nini? kila timu ina strategies zake za ushindi.
  10. T

    Kamanda Godbless Lema na wanachama na viongozi wapya wa chadema London.

    Inaonekana Magamba roho zinawauma cdm kufungua tawi London na mbado!
  11. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London kachaguliwa kwa kigezo gani?

    Duh!!! kazi ipo kweli kuelimisha jamii. nchi nyingine raia wao wanapiga kura japokuwa hawapo inchini mwao je hawareflect jamii yao? Hivi unaweza kusema hivyo kweli kipindi hichi cha utandawazi?
  12. T

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Diversity in tanzania????? How about lesbian, gay, bisexual and transgender? Disables?? Hahahaaaaa!!!!!!!!!
  13. T

    Picha: Ni kweli na shibuda hamtambui kikwete hii ilikua jana kwenye mnuso wa wabunge

    Sherehe ilkuwa ni ya kupongeza wabunge , haihusiani na hotuba ya Raisi bungeni. Shibuda pia alikwenda kuwaringishia CCM kwamba pamoja na kunichakachua kwenye kura za maoni na kutaka kunimaliza kisiasa bado nipo mjengoni.
  14. T

    Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

    Mungu ! Mungu, Sitaki kueleweka vibaya lakini msitegemee Mungu ndiyo ataleta mabadiliko bila kuyapigania.
  15. T

    Elections 2010 Sitta: Wananchi msidanganyike

    Kweli mijiongozi ya CCM yote mijizi halafu inajidai ati Wapiganaji? Bila shaka wameshajua kwamba watashindwa vibaya uchaguzi huu na kinachofanyika sasa ni jinsi gani watakavyo chakachua Kumtangaza Jambazi wao mkuu kwani wasipofanya hivyo itawabidi wawe wakimbizi. Lakini nawambia kwamba majasho...
  16. T

    Peter Kisumo Vs. Anne Killango - vita vya maneno

    nikumwacha tu hajui alitendalo,inaonyesha issue zake zinayumba akibwabwaja hata kama ni ujinga wakuu watampa mshiko hata kama ni vijisenti.uhuru wa Mtanzania bado,hakuna uzalendo,waheshimiwa wanajali issue zao na familia zao,sijui kitaelweka lini
  17. T

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Hii inamaanisha mafisadi wanaelekea kushinda au ndo mazingaumbwe?ndo maana nilisema kuiondoa sisi em ni mpaka nanihii,ila watanzania wakielimika na kupata uhuru wa habari ndipo kitaeleweka.Watanzania wangapi wana internet access? ,parcent kubwa ya Watanzani kila kukicha afadhali ya jana,looking...
  18. T

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    holalaaa!!!hata mimi nathani kuna chitu haiwezekani leo mtu hajafa mnakuwa negative nae then akifa positive ,it means leo mnapigana na mafisadi theni mkikamata usukani nanyi mtakuwa mafisadi?mh!! in dillema
  19. T

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    confused,kweli mtu akifariki hata kama alikuwa adui yako utasema siyo ,dont understand the late wangwe ndiyo yule aliyekuwa anapigwa vijembe anataka kuisambaratisha chadema kama NCCR ilivyosambaratishwa then watu haohao leo mko positive naye kwamba alikuwa mpiganaji wa upinzani?
Back
Top Bottom