Search results

  1. Waberoya

    Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Kwa hiyo usiku wa saa saba umeona mtu wa kuandika matatizo ya watanzania ni Pasco katika watu milioni 70 wa nchi hii, moyo wako, akili zako, hisia na matamanio yako ni kuwa Pasco aandike jambo kuhusu kupanda bei!!!!! 1.umeonyesha udhaifu mkubwa, wewe hauwezi kuandika? Au ni vile unajiona ni...
  2. Waberoya

    Mbwembwe zote za G7 zimeishia kwenye kikwazo cha dhahabu ya Urusi

    Wasaidizi wa Putin ni wabaya na wana hasira sana putin yuko so composed, considerate na humanity , nje ya hapo...London,madrid, paris kungekuwa na watu wanatema vumbi saa hizi... Abaki hai tu
  3. Waberoya

    Mbwembwe zote za G7 zimeishia kwenye kikwazo cha dhahabu ya Urusi

    India, china iran watanunua tu Wahuni wa europe watanunua tu Gold itapanda bei europe Hivi wazungu wa europe mmeona wana akili kweli ? Au takataka?
  4. Waberoya

    Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

    Naona history hauijui Putin sio mbabe, mpole kabisa na humanity nato na usa walimchukulia poa Weka akili zako kwenye ukweli, utakuwa na akili njema kuliko kufuata mkumbo
  5. Waberoya

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi kuna mtu bado anawaona urussi ni burundi??
  6. Waberoya

    Mtaa wa Mafia na Nyamwezi zamani

    Mzizima imechangamka miaka mingi sana Sasa hapo mtu kapaki gari zake nje kitaani
  7. Waberoya

    Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    Why nilikane mkuu Hii ni imani yangu, msimamo wangu, mtazamo wangu, na mpaka kesho nasimamia hili Kitu gani kimekufanya uhisi nitalikana? i am genuine, nasimamia ukweli wa ukweli na siangalii mtu au watu..
  8. Waberoya

    Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Mama yako nae anaanza kuchokwa ulipopasema au inakuwaje? Tupe experience nabii
  9. Waberoya

    Pamoja na kwamba madikteta huwa hawastaafu, lakini Mbowe must go

    Anzisha chama chako CDM sio chama cha siasa Wala hawana mpango kuchukua dola, Wala hawawezi kuchukua dola Weka akili na moyo , nguvu, energy kwenye vitu vya maana
  10. Waberoya

    Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    CDM Tengeneza kuungwa mkono na jamii, ivuteni jamii iwe upande wenu, na ndio siasa haswaa Hii ya kutengeneza moves kupata keki ya taifa mtaishia second runners always if not forever..Na always mtakuwa watu wa kubeg Kuna makosa na dhambi mmeifanya kwa raia wa Tanzania Leo nyie hamna mvuto kwa...
  11. Waberoya

    Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili Yaani eti ukute wanakujibu hili swali? Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha Atakuja mtu kuijibu...
  12. Waberoya

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Watanzania wengi wana inferiority complex Hawajiamini, wivu na wako addicted kutaka kupendwa kwenye social media Wao kupewa likes, au kutaka kuonekana anakuchukia wewe ili apendwe na fulani sio hoja kwao Hawa ni maskini wa akili wa kutupwa Utajiumiza bure just relax, live your life wenye...
  13. Waberoya

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Sasa CDM mahaba nao hawaulizi hili kwa viongozi wao hivi mbowe anawezaje kuwadanganya hawa wote? Ana nguvu ya ajabu sana
Back
Top Bottom