Search results

  1. kistwangara

    Wakati CCM inajivua, CHADEMA wanajifunika magamba 'gubigubi'

    Hakuna ukweli wowote kwa hoja hii... Suala la ufisadi ni agenda ya CHADEMA. Lakini pia ndani ya ccm hakuna aliyemsafi Kiongozi wako mmoja aliwahi kusema kauli hii hadharani.. Kama ni kweli unachosema kuhusu Lowasa mbona kuna mahakama ya mafisadi imeazishwa na hawajampeleka kumshitaki huko...
  2. kistwangara

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    We sasa ninawasawasi nawe kama ulitumwa ili ukipata ukivuruge Chama imekula kwako... 1. Kama madai unayosema ni ya kweli kwanini unatumia nguvu sana kuandika kwenye mitandandao wakati kuna proper way unaijua unaweza kutumia? 2. Mbona ulipoitwa na kamati kuu uliambiwa kuhusu uamuzi huu na...
  3. kistwangara

    Uhuru responds to Millie Odhiambo with a Christmas card

    The president Kenyatta really you know well the African politics not like hii kitu inaitwaga Maguli and kama ingetokea hapa Tanzania am telling huyu angeburuzwa kwa polisi km mtoto mdogo na angewa analindwa na silaha zitozito km gaidi vile...
  4. kistwangara

    Mageuzi makubwa CCM

    Ibambasi.... Bhana., why usingejiita pambazi???
  5. kistwangara

    Kifo cha ferdinand ilikuwa sherehe ufilipino

    NAKUSAHURI USOME KWA MAKINI SANA UJUMBE HUU UNA MAANA KUBWA SANA.... SIKU FERDINAND MARCOS ALIPOKUFA ILIKUWA SHEREHE YA KIHISTORIA NCHINI UFILIPINO. Na Luqman Mloto. Enzi nikisoma shule ya msingi, naikumbuka Kiezya Shule ya Msingi, asubuhi kwenye mchakamchaka tuliimba: “Idi Amin akifa, mimi...
  6. kistwangara

    Lowassa azungumzia uamuzi wa Rais Magufuli kununua ndege badala ya kutoa huduma kwa jamii...

    Watoto Wa Lumumba njaa zitawaua lakini ni kweli mnafanya hivi kwani msipofanya hampati hizo elfu 7 kwa ajili ya sikukuu... Ila muogopeni na Mungu kidogo maana hata kama mmeamua kuwa watimishi bora kwa hao waume zenu CCM basi mjitahidi kuwa wapole kidogo maana kumbukeni kila mtu atabeba mzigo wake.
  7. kistwangara

    Lowassa azungumzia uamuzi wa Rais Magufuli kununua ndege badala ya kutoa huduma kwa jamii...

    Ukweli Tanzania this nahitaji Elimi Elimu Elimu.... Mwambie Magufuli arudishe nyumba za Serikali alijigawia yeye na marafiki zake.
  8. kistwangara

    Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Majitu mwngine kama matahira
  9. kistwangara

    Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema, akubaliwa ombi lake

    Asome alama za nyakati??? We hili jambo siyo sawa hata kidogo.
  10. kistwangara

    Mange Kimambi a Tanzanian Socialite is back!!

    Hataaaa siyo Wa kumpuuza hata kidogo... Au kwa kuwa alisema ukweli kuhusu upumbavu Wa Magufuli kumpiga mkewe?
  11. kistwangara

    Mange kimambi kugombea ubunge 2020?

    Itajulikana hapohapo watamla nyama wapi halafu 2020 greengurd msifikiri tutawaangalia tuu....ohoooo
  12. kistwangara

    Mange Kimambi na Ndoto yake ya Kugombea Ubunge 2020..pamoja na Kutochukua uraia wa Marekani.

    Leo hii ndo mnamuoma Wa maneno ya shombo kwa kuwa anawashughulikia? Na bado...
  13. kistwangara

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Sasa hivi wanahanya hawana namna Mange anawahesha hatari wanatamani hata kumuua ila huko alipo tofauti na hapa wanapoua watu na kuwatupa mitoni na kusema ni wahamiaji haramu... Ebo kumbe wahamiaji haramu hawapaswi kuishi???
  14. kistwangara

    Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

    Uhaini kusema ukweli?? Pole sana Tanzania....
  15. kistwangara

    Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Tunaposema Magufuli dictator mnatakiwa kuelewa hiki kinachofanywa na John Pombe Magufuli ni uhuni na ukiukwaji mkubwa Wa haki za binadamu na haki lukuki zilizoainishwa na katiba. Ila akae akijua urais una mwisho na Siku akiacha madaraka ataishiwa kulaaniwa na hatakuwa na maisha marefu
  16. kistwangara

    Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Kama haujui ungesema tukueleweshe. HV unafahamu shule za kata wanakosoma wale wadogo zako Wa kule kijijini uliasisiwa na nani; mradi mkubwa ule uliazwa na nani??? We kweli mpuuzi hivi hujiulizi hao unaosema wako wapi? Na huyo Lowasa unayesema yupo wapi kisiasa?
  17. kistwangara

    Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

    Kwani kuna haja gani ya kuzungumzia Chadema wakati una chama chako ? Hebu kajenge chako. Suala la Lowassa liko wazi kwmba alifanyiwa zengwe tu na nsp maana watasema mengine lakini huwa hawasemi kwa ufisadi. Kwa taarifa yako baba yako magufuli amezuia mikutano ya hadhara ni sababu ya Lowasa...
  18. kistwangara

    Kipindupindu charudi, watu 458 wanaugua sita kati yao wamepoteza maisha

    Wakati Wa maembe tujihadhari kula bila kuyaosha
  19. kistwangara

    Songea: Aliyekuwa mgombea Ubunge Joseph L. Fuime afukuzwa uanachama wa CHADEMA

    aiseee jibuni na kutetea hoja iliypo kwenye thread hayo mengine huwaga sipendi sana maana ni umbea.....
Back
Top Bottom