ndugu zangu kwahili naungana na simiyu ni kwamba kwa tamaduni zetu ss wangoni kwa upande wa wanawake tunautamaduni wa kubiringita chini tukimsnisha furaha na shukrani za dhati na heshima kwa mgeni ama mtu flani muhimu.
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa huyu ajiitaye lemutuzi kukosa ubunge wa eac ,nimejaribu kutafakari kwa akili hii ya huyu jamaa eti anakuwa muwakilishi wa nchi yetu ktk bunge la eac .LOL ningehama nchi kwa aibu.
wewe shughulisha akili yako hata kidogo mfumo kristo Ndio mfumo unaoiendesha dunia au hujui? ww kutambua tu kuwa leo ni jumapili tar 13 2013 tayari hupo ndani ya mfumo,Yani haukwepeki hata ufe....chezea mfumo kristo ww,
for the first time nakuunga mkono ndugu chriss,katika c kwa akili ya Ghana sms kundi flani la watawala la n ya watanzania wote na cyo. ya Kuala ni5 ama 10 ijayo la ni yamkini nusu karne ama karne mzima ni jambo la busara tena hekima alilofanya RAIS kurudisha mswaada bungeni ukajadiluwe tena kwa...
kwenye biblia uko Mstari unasema -------- hata umuingize kwenye kiinu umtwange uwezavyo ukimtoa upumbavu wake bado hautomtoka,ila n kwa Neema ya Mungu tu..
ndugu yangu huyu mama Hannah kitu zaidi ya kulishwa ngano na hisia za ubaguzi wa kiimani amejawa chuki juu ya nyerere hata tukikesha kumueleza yote hayo na mengine mengi juu ya nyerere n sawa na kukamata upepo kwa konzi,kwanza hawezi hata kujibu maswalu mengi ya mcng,hana kitu Yan n sawa debe...
nakubali nyererealifanya makosa lakini usitake kutuaminisha kuwa totaly alikosea kwanza unapotaka kukosoa uongozi wa nyerere jaribu kuzingatia wakati wa nyerere tanzania na africa ilikuwa kwenye hali gani kiuchumi na kisiasa?dunia ilikuwa inapitia mfumo gani wa kiuchumi?Na nchi za magharibi...
Mimi nalitazama hili swala kwa jicho tofauti kidogo huu ni mpango rasmi wa kuwafanya cdm kutofikia Nokia yote kama baraza la katiba kwani Kuna mambo mawili yanatokea kwenye mikutano hii mosi kukusanya Naomi na kutoa elimu ku ya seals zima la katiba lakin 2 ni kwamba kupitia mikutano hii cdm...
nilikuwa meaning ya dalafala nikitokea tbt kwenda kko wakato r,one walitoa jerking nwz toka kwa rpc wa iringa gar nzima watu waliangua kicheko manna rpc alivyokuwa anarepot yan dhahiri kunachuki moyon mwake na viongozi wa cdma,lakin kubwa zaid lilonivutia ni mjadala mzito wa abiria wakilisema...
Ndugu nape,nimekuelewa sana na nakubaliana na maneno yako maslahi ya nchi kwanza vyama Baadae,Lakini nikisoma andiko lako nzima hofu ndani yako cjui ujahisi nAweza poteza kata endapo kutakuwa na by élection,lakin kubwa zaidi bw nape Yan ww maslahi ya mch kwanza umeyaona zaidi ktk mgogoro wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.