Search results

  1. babumapunda

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Sterling rack ya Umeme ,Subaru SH5 ya 2008 inapatikana kwa Bei gani.,!?
  2. babumapunda

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Huyu mwamba alikuwa To mwaka gani o level na mwaka gani advance.?
  3. babumapunda

    Elections 2015 Moses Mwizarubi kumvaa Lema Arusha

    Jamaa alikua TO o level mwaka gani ndugu.??
  4. babumapunda

    Basi la ABC ladaiwa kupata ajali maeneo ya Chinangali

    Imegonga Lori kwa Nyuma na sio Uso kwa Uso
  5. babumapunda

    Majina ya walioitwa kwenye usaili TANROADS Tabora yametoka

    nawe ulipiga interview ya weighbridge op?
  6. babumapunda

    Yuko wapi msanii "Mtunis"?

    Yupo anaigiza Kwenye Igizo la Pazia Channel number 160 dstv jumatatu hadi jumatano saa 1:30 usiku
  7. babumapunda

    Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Usaili unaanza tarehe 30 kwa nafasi za maoperator
  8. babumapunda

    Maria Sarungi ni nani?

    alizawadiwa.,Alikuwa dc Mtwara mpaka mauti yanamkuta
  9. babumapunda

    Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    ujambazi wa kutumia silaha ni shtaka kubwa sana linamlaza mtu 30yrs..,anyway Mbowe nae kasema bado hajapeleka ushahidi wake
  10. babumapunda

    Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

    sabaya unajisikiaje huko ulipo.?
  11. babumapunda

    Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    [emoji23][emoji23][emoji23] ndo umeandika nn sasa .??Sabaya anapaswa kulipa madhambi yake haphap mnatesa sana watu miaka sita ilopita mbwa nyie
  12. babumapunda

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    hehehe miaka minne ya kuteka kutesa kuua na kubambikia watu kesi za mauaji na uhujumu uchumi imewatosha acheni mama afanye kazi yake na mkae kwa kutulia
  13. babumapunda

    Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

    Umofia kwenu ndugu, Mwenye CV ya katibu mkuu mpya wa CCM ni vema akatuwekea hapa nasi tupate kumjua ndugu Daniel Chongolo aliekuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni. Si mbaya tukapata wasifu wa viongozi wetu. Ahsanteni.
  14. babumapunda

    TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

    IFM Hawatoi wahandisi mkuu uhandisi sio kalio kwamba kila mtu anaeza upata..,sema alisoma computer science kitu ambacho halina uhusiano na uhandisi
  15. babumapunda

    TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    si alikuwaga mbunge viti maalumu huyu
Back
Top Bottom