Search results

  1. J

    Kila mbunge aliyeshiriki kupitisha mkataba wa bandari zetu atupishe 2025

    Ndoto za alinacha. Kwa taarifa yako Musukuma ambaye ndo alikuwa dalali namba moja Wa DPw atashinda subuhiiii
  2. J

    Niende Uganda ama Kenya

    Sahihi kabisa......hapo bado hujagusia Zanzibar na mafia😅😅
  3. J

    Uzinzi, Ulevi wa pombe na kamari vimeleta maumivu makubwa Kwa wanaumme wengi Sana

    Why should I wate my time kujadili mada ya kijinga iliyoletwa na frustrated mind? Jadili na wajinga wenzako.
  4. J

    Uzinzi, Ulevi wa pombe na kamari vimeleta maumivu makubwa Kwa wanaumme wengi Sana

    Hao ndo wanajiita motivational speakers. Hawana lolote. Siwasikilizagi hata kwa bure
  5. J

    Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Una matatizo ya akili nadhani. Mbowe alichofanya ni kuhabarisha Umma kujua wawakilishi wetu wanaishije huko Bungeni. Kuna shida gani wewe na wengine kupata hiyo taarifa?! Kama taarifa imekuuma ndo uwauliza hao waliojiongezea. Shida iko wapi?
  6. J

    Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wewe dada wa CWT nini kinakuleta kwenye Uzi wa mawakili?! Jiheshimu, tambua mipaka yako ya nyuzi humu JF.
  7. J

    Gration Mukoba achaguliwa kuwa Mwenyeiti mpya wa CHADEMA Kagera

    Wewe ni pumbavu! Alipokuwa CWT akishirikiana na watawala kuwatumia Waalimu kwa maslahi yenu mbona ulikuwa kimya?! Akiwa CWT anakuwa MTz Ila akiingia CDM anakuwa Mganda?
  8. J

    Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Hivi kwanini mnaoendaga kuchosha watu humu JF kwa mambo yenu ya kijinga?
  9. J

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    V Vipi Kofi Olomide anayekata viuno majukwaani katika umri ule 1hakushangazi?
  10. J

    Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

    Kitu cha ajabu mno hiki. Kama siyo uhaini itakuwa nini? Kama kweli Zito amesema haya basi anashida upstairs.
  11. J

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Weka reference bosi. Yaani kitabu ktk Biblia inaelezea Haya. Stori nzuri anyway
  12. J

    Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Ngoja ufike 60s utaomba ujengewe Choo cha kukaa haraka sana. Vinginevyo andaa ndoo au stuli iliyotobolewa katikati ili uendelee kutumia hicho Choo chako cha shimo😡😡
  13. J

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Familia? Akina Biteko na Kassim Majaliwa ni mabinamu kwenye familia hiyo?! Acheni utani. Shigella ni mwanafamilia ya wapi?! Hatutaki double standards, kama wengine wanaonekana hawastahili kumbukizi tujulishwe. Wote waliitumikia nchi hii equally.
  14. J

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Akifa baada ya kumaliza tenure yake kama ilivyo kwa hayati Mkapa anakuwa takataka siyo?!
  15. J

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Hii kundi lisilojiweka wazi ambalo linaandaaga kimyakimya kumbukizi ya Magufuli kila mwaka hadi kuratibu Misa takatifu ni ushahidi tosha kuwa kuna kundi linam-outsmart SSH by far huku likisubiri muda wao ufike. Alifariki Mkapa lakini hata siku moja hatujawahi kusikia kumbukizi ya kifo chake...
  16. J

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    😅😅😅😅😅........Wacha fujo chifu. Ubwabwa siyo tatizo kwenye shule zetu hapa nchini. Atleast mara 2 kwa wiki.
  17. J

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Una evidence ya write up ya Serikali ya Tanzania kuomba msaada wa chakula kulisha hizo shule au ni janjajanja ya NGOs kushirikiana na US Dept of Agriculture kwa maslahi yao?! Wakitumia loopholes ya viongozi crooks hapa nchini? Watoto wetu wasitumike kama objects za kutajirisha wenye NGOs na...
Back
Top Bottom