Search results

  1. T

    Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka

    Ilikuwa inaitwa Banki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini
  2. T

    Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

    Hiyo miaka Dar Express ilikuwa inaenda ila safari haikudumu kwa muda mrefu boss. Hata mimi nilisafiri nayo
  3. T

    KILIMANJARO: Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi apata ajali, avunjika mkono! Alazwa hospitali ya KCMC

    Sasa wewe unaambiwa mtu kaanguka kwenye ngazi za hoteli! Mambo ya sheria za barabarani, mwendo mkali na magari mabovu yametoka wapi? si utumie muda kidogo tu kusoma thread mpaka uimalize?
  4. T

    Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Hebu niambie carrying capacity load ya hostel ya ghorofa 4 na carrying capacity load ya ofisi ya ghorofa 1 zinaweza kuendana kweli?
  5. T

    Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Hivi kuezeka na aina hiyo ya vigae (bati) na kwa kujenga reinforced concrete slab ni ipi inakuwa gharama zaidi?
  6. T

    Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Hivi mkandarasi wa jengo ndio yeye pia anahusika na usambazaji wa thamani za ndani?
  7. T

    Diwani Ephata Nanyaro wa Levolosi Arusha - Utekelezaji wa Maendeleo

    Kweli wewe analysis yako ni finyu, ina maana umeona hayo maji yatavunwa na kutumika kwa siku moja tu ndio maana unalinganisha na chupa moja ya maji?
  8. T

    Wahitimu wa LAW School kuapishwa leo, Zawadi gani nzuri kwa mwenzi wako?

    Mbona tumezoea zawadi sana, jamani si kwa ajili ya maisha yake au?
  9. T

    CV za Wabunge: Hii inawezekana au mie sielewi mifumo ya Elimu ya Tanzania?

    Sasa hii nayo kali, MBA baada tu ya Form Six, there after CPA-Diploma, inatisha kwa kweli.
  10. T

    Hivi Nakaaya Sumari yupo CCM au yupo wapi?

    Taarifa nilizonazo kwa mara ya mwisho 2011 alikuwa Manager wa Arusha Gymkhana chini ya Boby, kwa sasa sijui kama bado yupo au la!
  11. T

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Sasa wewe unatuambia kuwa amedanganya, wakati kwenye jedwali lako halisemi hiyo taarifa ni ya mwaka gani. kwako ina maana yesterday ni lazima iwe jana. Hebu tupe time range ya hiyo study.
  12. T

    Picha: Mama pinda ala nondozzzz

    mkoni pwani ni wapi tena huko? na ndiyo makao makuu ya OUT? Na hapa ni wapi? Contact Us General Address: The Open University of Tanzania, Kawawa Road, Kinondoni Municipality, P.O. Box 23409, Dar Es Salaam, Tanzania. Fax: +255 (0) 22-2668759. Telephone: +255 (0) 22-2668992, +255 (0)...
  13. T

    Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

    Namkumbuka sana huyu mama baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 tulitimuliwa chuoni wote, then ndio tukarudishwa kwa masharti ya kujaza loan form, huyu mama alitutesa sana, wewe mtu ametokea kigoma mama anamwambia alete barua ya balozi wa nyumba 10. Let her RIP
  14. T

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Hey always what you see is what you get and if you want to andstand someone judge what he says.our finance minister is good but something to much care is peformance and his accountability to work to meets international levels bcz he has been given higher duties and responsibilities.dont judge...
  15. T

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    To go to school is another thing and to be educated is another thing.
  16. T

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    To go to school is another thing and to be educated is another thing.tanzania wasomi wana elimu na cv za kutisha ila hawana maarifa.ni kama huyo minister.wa finance.ERICK(UDSM)
  17. T

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Kwa mtazamo wangu ni kwamba tukitaka kuzuia mfumuko wa bei ni lazima serikali ianzishe vyanzo vingi vya mapato ili isitegemee tu kodi kutoka kwa wafanya biashara na mashirika binafsi ambayo ndiyo yanayopandisha bei za bidhaa ili kumudu gharama za uendeshaji pamoja na kodi.Pia tukuze uzalishaji...
  18. T

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    dah zitto angezaliwa toka enzi za Nyerere tz ingekuwa kama USA.
  19. T

    Hali ya hatari kwa maeneo ya vyuo vikuu vyote vilivyopo Dodoma

    Siku hizi hamna shida, division III mbona university unatinga kama kawaida. Enzi zetu ukiwa na III ujue tu ni Diploma ya Ualimu Marangu na vyuo vingine tena unaona umepata bonge la course.
  20. T

    Mnamkumbuka Nakaaya Sumari?!. Alivua Gwanda akavaa Gamba Arusha Mjini 2010....

    nadhani akina Boby walimdanganya na kazi pale gymkhana ya hapa Arusha kama manager, ndio maana akaamua kurudi kwa magamba. Kuna siku nilienda kufanya kazi fulani pale nikamkuta pale namshukuru alinipa ushirikiano mzuri tu. nadhani kwenye usinii haikufa fani yake.
Back
Top Bottom