Search results

  1. O

    CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

    wabunge wao pamoja na wapiga kura wao wataishia kukalia tunguri tu.
  2. O

    CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

    tanga bado sana ......sijui nini kifanyike
  3. O

    CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

    CCM imebakia tanga na wilaya zake zote hasa huko lushoto....cjui hawa wasambaa watatoka usingizini lini jamani...inasikitisha sana...wangekua hata serious basi wachague hata wabunge wenye uelewa haohao wa ccm atleast ingewasaidia....wabunge wenyewe ni mizigo tu bungeni....
  4. O

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    kwa maana kila serikali na raisi wake,makamu wa raisi,waziri mkuu,.........
  5. O

    CHADEMA washindwa kulipa kodi ya nyumba, wafukuzwa ofisini!

    huyu mwampamba anaumwa UTAPIAUBONGO
  6. O

    Mabaya na mazuri ya toyota RAV4 old model

    asante sana mkuu kwa kunijuza
  7. O

    Mabaya na mazuri ya toyota RAV4 old model

    Sasa nimefikia maamuzi ya kununua toyota RAV4 old model milango 5,cc2000,3S,kama kuna mtu anaifahamu anijuze mabaya yake na mazuri yake plz
  8. O

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    yaani huwezi kuamini, OCD aliongozana na askari zaidi ya 25 wakiwa na silaha nzito
  9. O

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Maofisa wa Jeshi la Polisi, waliokuwa na mbwa, mabomu ya machozi na silaha nyingine za moto, usiku wa kuamkia jana waliruka ukuta na kuingia katika eneo la makazi ya Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ambako walizingira nyumba yake kwa zaidi ya saa nne. Operesheni ya kutiwa...
  10. O

    Lipumba 'aisigina' CHADEMA bungeni

    Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza...
  11. O

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    sasa dada yangu inategemea hiyo fibroid iko sehemu gani kwenye kizazi chako,kwani zipo fibroid za aina tatu;Zipo zinazokaa kwenye ukuta wa nje wa kizazi,zipo zinazokaa ndani ya misuli ya kizazi na zipo zinazokaa ndani mwa kizazi chenyewe ambako ndipo mtoto hukaa na kukua .Sasa kuwa na fibroid...
  12. O

    Slaa: Hizi ndizo sababu za nchi kutotawalika

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefafanua kauli yake, kwa kutaja sababu kadhaa ambazo zitasababisha nchi isitawalike kama alivyowahi kuonya. Mwaka juzi, Dk. Slaa alimtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha...
  13. O

    Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Labda wanataka zile cd zilizorekokodiwa wakati huyu mkuu wa mkoa anatema pumba kama mashine ya kukoboa
  14. O

    Nina milioni 12, nahitaji ushauri wa gari gani ninunue ambalo halitanisumbua

    mkuu nashukuru kuwaambia ukweli,Iwant to build the house of my dream, milioni 12 haitoshi kabisa kujengea
  15. O

    Nina milioni 12, nahitaji ushauri wa gari gani ninunue ambalo halitanisumbua

    mkuu kujenga ni mchakato mrefu sana,ukikimbilia kujenga utajikuta unajenga banda badala ya nyumba
  16. O

    Tanzania yangu jamani:Dawa za kuongeza akili zaingia nchini

    "Tuna taarifa kuwa bidhaa za ‘Go Woman' na ‘Go Man' zimesajiliwa na ni salama," ETI TFDA wana taarifa,kinachohitajika sio taarifa ila ni uhakiki wa hizo dawa na waache .......ge
  17. O

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    HASARA, kuna uwezekano mkubwa sana wa kupata premature ejaculation during sexual intercourse,wakati mwingine kichwa cha penis kinaweza kupoteza sensitivity yake na mtu akachelewa ku ejaculate kwani mkono hauna mucous membrane ukilinganisha na vagina wall with alot of soft mucous membrane,pia...
  18. O

    Tanzania yangu jamani:Dawa za kuongeza akili zaingia nchini

    Mtindo wa maisha, ulaji na msongo wa mawazo, vimewasababishia Watanzani wengi maradhi lukuki hata vifo. Hata hivyo, wataalamu wa afya kutoka Afrika Kusini wamekuja na dawa maalumu, zilizo na uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuongeza upeo darasani, kuondoa sumu mwilini na kumfanya mzee kuonekana...
Back
Top Bottom