Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM na kuhitimu Butimba TTC
Tujuavyo sote:
Advanced level ni miaka miwili na Chuo cha Ualimu "Butimba TTC" ni miaka miwili pia, yeye alisomaje EGM High School na TTC ndani ya miaka miwili?
Alieleta madam...
Mie nastaajabu...nilikimbilia mwisho wa maelezo ya mtoa mada ili nijue yeye anaona nani anaefaa kumbe nae hakumtaja..hapa unampa MTU publicity ya bure bila kupania kufanya hivyo..to a mbadala hapa tutathmini
Kuwakimbia ni shida/taab kwani wako kila kona..Mara nyingine hufika mikoani pia usifkir hawatoki nje ya Dar...In short wanaume wengi unaovutiwa nao wametia timu Dar....hata huyo ulienae
Huyu mama ni mnazi wa chama sana...ila inamwomdolea sifa ya uwakilishi kwani wote walomchagua si kwamba hawaoni upande wa pili kama yeye..kwa werevu hataiona tena kura yao...
mie naona wadada hupenda kutumia hayo maneno. Akiacha kukuita beby kashapata wa kumwita hilo jina. Kama kuna kautam wanajiskiaga kupata mtu wa kumwita beby hivi.
Labda hizi movement za kuendesha harambee ziwe kwa ajili ya kuimarisha imani tu and nothing else. Lakini kama ni yale ya give and take. Expect kuumia kisawasawa itakapofika muda wa kurudisha kilichotafutwa nae na 'marafiki' zake.
Bila shaka utakua ulitumia kavu style. Ukitaka usiumie tumia ile ya kutumbukiza'kitu' yako kwenye chupa yenye siafu kazaa, ambao watakua wanang'ang'ania kupita kwenye shimo la chupa lililozibwa na kifanyio chako. Wala haitachukua dk 5 wazungu hawa hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.